zanzibar

  1. Lord denning

    Si zaidi ya Miaka 20 Ijayo, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutumia akili kufanya maendeleo

    Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara. Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao...
  2. S

    Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

    Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi? Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki? Watanganyika tuamke Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  4. Waufukweni

    Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

    Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar. Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
  5. Mohamed Said

    Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  6. milele amina

    Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

    Mitano Tena! Zanzibar imepata wapi fedha
  7. Roving Journalist

    ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  9. Li ngunda ngali

    Huyo Rahisi wenu kila siku yupo Zanzibar?!

    Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar. Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar. Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?! Inachosha bwana! Bora hata ya Hayati aisee.
  10. Cannabis

    Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

    Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu. Source...
  11. Stephano Mgendanyi

    Wabunge wa UVCCM Wachangia Milioni 30 Kwaajili ya Ujenzi Chuo cha UVCCM Tunguu, Zanzibar

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM. Aidha, Wabunge na...
  12. KJ07

    Sultan wa mwisho wa Zanzibar Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat. Vyanzo vya habari vimethibitisha...
  13. Suley2019

    Wapiga Makachu Forodhani waruhisiwa, Watasaini Mkataba

    Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na Shughuli zao kwa kuzingatia taratibu zilizoanishwa katika mikataba itakayosainiwa na vijana hao...
  14. crome20

    Je, kuanzishwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ina maaana Mawasiliano yameondolewa katika mambo ya Muungano?

    Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini? Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano. Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
  15. daydreamerTZ

    FREELANCER WA ZANZIBAR ANAHITAJIKA

    Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
  16. Pascal Mayalla

    Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  17. B

    Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  18. F

    Sultan Jamsid bin Abdullah aliyepinduliwa 1964 kurejea Zanzibar Januari 9 2025: Je apewe nafasi katika uongozi? Urejeo wake ni shinikizo la Oman?

    Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964 Kwanini Mapinduzi Yalitokea Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah, kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Wazanzibari wa asili ya Kiafrika...
  19. Minjingu Jingu

    John Okello (Baba wa Taifa la Zanzibar) angekutanishwa na Sultan Jamshid

    Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru. Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar. Alikuwa na moyo wa kipekee sana. Dunia haipaswi msahau. Napendekeza kama ana ndugu zake anapokuja...
  20. Stuxnet

    Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
Back
Top Bottom