zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Tanzania na China zapigana jeki katika kukuza na kutangaza sekta zao za utalii

    Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
  2. FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  3. P

    Pre GE2025 Abdul Mluya: Sisi tulishapigwa, kama CHADEMA wanataka maandamano wajipange na familia zao mbele wapate ladha yake

    Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi wajipange na familia zao mbele, pamoja na wake zao, watoto, wajomba, shangazi waingie barabarani wapate...
  4. Luhaga Mpina: Wananchi kuporwa mali zao na kuuawa imekuwa kawaida siku za karibuni

    "Wananchi kuuawa na kuporwa mali zao katika siku za karibuni imekuwa ni jambo la kawaida, wananchi kuuawa na kuporwa mali zao kwa visingizio vya kusimamia sheria za uhifadhi, mfano katika maeneo irani na hifadhi kunaripotiwa taarifa za wafugaji kuuawa, wanawake kuuawa wakiwa wanakusanya kuni...
  5. D

    Uhuru wa kweli hautaletwa na wasakatonge utaletwa na watu waliotoa nafsi zao kama Mdude na Mwabukusi

    Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru. Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi kuhusu kujiunga na maandamano yao. Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja...
  6. Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis iingie barabarani siwezi kukaa kinyonge, madogo wa maghorofani wananitambia kinoma. MUBANDA: Dogo...
  7. Inasikitisha vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimegeuka kuwa ngao ya mafisadi

    Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo 1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia? 2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.? 3. Nyama mnapewa bure? 4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.? 5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.? 6...
  8. Marekani inafundisha Wanajeshi wa Kiafrika kufanya Mapinduzi nchini mwao? Walioongoza mapinduzi Guinea na Burkina Faso ni zao lao

    Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
  9. Naomba kuwajua Hawa walioimba Gospel track hizi

    Naomba kujua Hawa walioimba hizi nyimbo ni Nani...najua tuu melody zao nime attach nikiwajua ntashukuru
  10. Kwanini Wanaume Wakichiti hujulikana upesi na Wanawake zao, ila Wanawake Wakichiti kamwe Wanaume hawagundui?

    Nasikia Wanawake wapendelewa mno na Mwenyezi Mungu uwezo mkubwa wa kuwa na Saikolojia Kubwa na Kali pamoja na Uwezo mkubwa wa Akili kuliko Wanaume. Tafadhali nijibuni upesi kwani kuna Mtu simuelewi simuelewi hivi na nahisi Gari yangu nzuri ya Kibaiolojia jana Asubuhi niliposafiri ghafla kwenda...
  11. Kwanini wanawake wengi huwaona waume/wanaume zao kama hawana akili au wana akili za kitoto?

    Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano. Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto. Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za...
  12. M

    Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...! Kwanini wachungaji wanasauti za kukoroma wakiongea ila ma Padre wanasauti zao za asili?
  13. Vazi la Isdal linavyowatayarisha wanawake wa Gaza kwa vita na kuheshimika. Mungu kaona juhudi zao

    Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno. Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi. Lakini mamodi wa JF kwa kuwaendekekeza akina Imeloa na Yoda na MK254 na Kinyungu na wenzao...
  14. Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  15. Kuna kipi kinaendelea? Mbona kila kona malalamiko ni ndugu kupotelewa na jamaa zao?

    Mfano ni mkoani Singida, familia tatu zinawalilia ndugu zao walio tekwa na watu wasiojulikana. Familia mbili za huko Wilaya ya Iramba, zinazoishi karibu na Loya, zinalia kupotelewa na wafanyabiashara wa mazao jinsia yao ni wanaume wawili. Wawili hao inasemekana walitekwa na gari nyeupe aina ya...
  16. Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  17. Dozi 24 za kuzuia watoto wetu wa kiume wasiharibikiwe

    Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga! Denis Mpagaze _________________________ Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike. Kuwainua watoto wa kike ni...
  18. M

    Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  19. Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  20. M

    Krismasi na mwaka mpya ndio kipindi cha wake za watu kwenda kunyanduliwa na ma ex zao kwa kisingizio cha kula sikukuu

    Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu. Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole. Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake. Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini. Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…