Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:
1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.
2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!
Viongozi hawa...
Siasa za weusi ni nyeusi tii
Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani.
Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala.
Ni nani anasimama kumtetea maskini
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika.
“Nitoe mfano iliwahi...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu wapendwa naambiwa Mtume wetu Mohamed wakati wa uhai wake hapa duniani alijaaliwa kupata Mabinti kadhaa ambao walibahatika kuolewa.
Naomba kujua kama suala hilo ni kweli je Mabinti hao walipofariki walizikwaje? Na Waume zao au Baba yao?
Karibuni tujadili...
Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika.
Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach.
-Hakuna...
Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena.
Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana.
Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana.
Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi...
Hii ni kali.
👇
"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano:
Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani.
Vikao vya Mke na Mume...
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.
Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche...
Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao......
=============================
The conflict between M23 rebels...
Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.
Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini...
Kwema Wakuu.
Hii ni kwa mtizamo wangu, muono wangu, kila nitakachoeleza kitatokana na uelewa wangu kuhusu vile ninavyowajua Watu na binadamu. Yeyote anaweza kunipinga kwa hoja na kulingana na mtazamo wake.
Nachelea kusema kwenye huu ulimwengu, hakuna Watu waoga kama waarabu.
Ninasema hivyo kwa...
Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha.
Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani?
Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini?
Karibuni🙏
Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.