zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  2. R

    Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

    Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena. Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa...
  3. Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao

    Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama...
  4. Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  5. 75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

    Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu. Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
  6. Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF, Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu. Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...
  7. S

    Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  8. V

    Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  9. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  10. Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  11. V

    Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  12. Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  13. M

    TAMISEMI/UTUMISHI saidieni watumishi walipwe haki zao pindi wanapohamishwa vituo vya kazi

    Ni kawaida sana kwa Mtumishi anapohamishwa kituo Cha Kazi uchelewa/kutolipwa kabisa gharama za kujikimu na kubeba Mizigo kwenye halmshauri nyingi. Mtumishi anakaa miezi 6, mwaka au zaidi bila kulipwa! Kuna mwingine alilipwa kidogo kidogo kwa miaka 5, kweli hii ni aibu na kumdumaza Mtumishi...
  14. Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  15. M

    Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  16. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  17. Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  18. Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  19. JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  20. Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

    Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…