zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Wanaume wengi wanawaogopa wake zao

    Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao...
  2. BLACK MOVEMENT

    Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
  3. Poppy Hatonn

    Kwa wale ambao ndoa zao zina matatizo yupo Mchungaji Daniel Mgogo.

    Huyu Mchungaji kwa kweli ndiye atayeweza kuleta amani katika familia zote kwa ajili amelivalia njuga swala la ndoa. Lakini siku za karibuni amekuwa na hasira sana na wote wanaoyakosoa mahubiri yake. Huyu Mchungaji anamtishia maisha ya Wachungaji wengine na anaondoa Umoja wa Kanisa. Sasa hivi...
  4. Mikopo Consultant

    Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

    Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dada zetu wakinunuliwa Zawadi na waume zao wanasema Mahaba lakini sisi tukifanya hivyo Kwa wake zetu wanasema tumerogwa!!

    Hivi ndivyo ilivyo wakuu...... Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa) Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
  6. B

    Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

    Kuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake. Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe. Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha. Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana. Braza...
  7. chiembe

    Hivi wizara ya ardhi inapoteua Mahakimu wa mahakama zao huwa inawapa hadhi ya uchifu? Nimekuta wawili hapa Dar wana miaka 10

    Nimeenda nimerudi, hawa jamaa wapo, hawahamishwi, tofauti na mahakama za kawaida. Sijui kama Wizara wana utaalamu na mila za kuendesha mahakama kwamba hawa watu wa maamuzi hawatakiwi kuwa miaka 10 au 15 kituo kimoja
  8. eliakeem

    UISLAM: Mbali Na Kuwa Chombo/Mpango wa Waarabu Kueneza Tamaduni Zao. Bali Pia ni Chombo Chao Cha Harakati/Kupigania Haki/Uhuru Wao

    Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa waarabu wa kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Pia lingine ambalo watu wengi wameanza kulimulika...
  9. A

    DOKEZO Ubaguzi kwa watumishi kupata stahiki zao Taasisi ya Vyuo vya Mifugo

    Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana morali ya kazi tena ni kama taasisi imefikia ukomo hakuna mawazo mapya tena. Mkuu wa taasisi ni...
  10. Ritz

    Magaidi 15 wa Israel ambao wanaua watoto Gaza maiti zao zimepelekwa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more). =============== Magaidi 15 wa Israeli waliondolewa na upinzani tangu mwanzo wa Desemba kulingana na matangazo ya Israeli (idadi halisi...
  11. M

    Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

    Akizungumza na Watanzania kupitia katika mtandao wa clubhouse mheshimiwa Lissu amejibu maswali mengi aliyoulizwa na Watanzania. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni kuhusu faida za maridhiano zilizoelezwa na mwenyekiti Mbowe. Akijibu swali hilo, Ndugu Lissu akasema, anashangaa ndugu Mbowe...
  12. S

    secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

    hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
  13. M

    Waasi wa Yemen (Houth) wakionyesha nguvu zao za kijeshi

    Hawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
  14. Roving Journalist

    Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi

    Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa kuwekeza mkoani Kagera kufuatia hatua mbalimbali za utekelezaji wa miradi ambazo mkoa wa huo umefikia ikiwa ni pamoja na mipango ya maendeleo na fursa nyingi za uwekezaji zilizopo. Mkoa wa Kagera ni wa pili kwa uzalishaji wa samaki na fursa...
  15. Jamiitrailer

    YERICKO NYERERE KUSIFIA WENZIE WENYE 'CONNECTIONS ' NA ABDUL INA MAANISHA HAONI SHIDA WANANCHI KUPEWA STAHIKI ZAO KWA MILANGO YA NYUMA.

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  16. The Boss

    Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
  17. Infropreneur

    Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  18. M

    Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
  19. Gautten Potten

    Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

    Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo Kupishana kwao kupo wazi. Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua...
  20. kavulata

    Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
Back
Top Bottom