MKUU WA MKOA SIMIYU ATOA TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI HUMO
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Said M. Mtanda, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, inayotarajiwa kufanyika mkoani Simiyu kuanzia...