zinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitomai

    ZINAUZWA HARAKA UPANGA! 🏢 Apartments mbili za vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 kila moja!**

    **ZINAUZWA HARA 🔑 Vipengele Vikuu: ZIPO KATIKA UBORA: Zipo katika majengo yenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: Zinauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. 📞 Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 ⚠️ Angalizo: "Hizi sio za...
  2. V

    AUDIO SOUND CARD ZINAUZWA

    Audio sound card 2 zinauzwa hazijatumika Bongo imported from UK 1 . M_Audio njia mbili haijatumika .Bei 350000 2.¹Focusrite 3rd generation Bei 450000 Simu 0712652110 Dar
  3. Damaso

    Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail. Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au...
  4. F

    Mashine za kuuza maji kwa coin zinauzwa

    Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi. Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji. Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam. Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja. Kwa wateja wa mikoani, tunatuma...
  5. Jackson News

    Zinauzwa Bukta Fupi za kiume na wanauke kwa michezo 2-in-1 kwa Ufukweni na Kukimbia

    Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%) Bonyeza na Nunua Sifa kuu: Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada. Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
  6. Kitomai

    House4Sale NYUMBA MBILI ZINAUZWA DAR ES SALAAM, TZ.

    Eneo: Wazo Hill, Tegeta Ukubwa: 1052sqm Hati: Miliki ya Wizara Nyumba: Mbili (moja ina vyumba viwili na nyingine ina vyumba vitatu) Bei: 210,000,000/- Ikiwa una nia ya kuinunua, unaweza kuwasiliana nami kwa nambari hii (0784225000) .
  7. Kijana Mpole

    INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa zinauzwa

    Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana Gharama ya machine 1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519 Napatikana...
  8. bizzle for shizzle

    Apartment for sale, Tsh. 1.5 Bilion

    APARTMENT FOR SALES 𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓 𝖬𝖠𝖧𝖠LI - MBWENI MPIJI PRICE - 1.5 BILION MAONGEZI YAPO ____________________ UKUBWA KIWANJA CHAKE ~ SQM 1200 UMILIKI ~ INA HATI ( TITLE DEED ) ________________ APARTMENT ZA KISASA Z𝖤𝖭𝖸𝖤 ; ____________ 𝖵𝗒𝗎𝗆𝖻𝖺 𝖵𝗂tatu zipo mbili Vyumba viwili zipo mbili...
  9. D

    Pasi nzuri za kisasa zinauzwa

    Habari wakuu. Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani. Bei ni 150,000/- Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia. Karibuni
  10. D

    Cherehani zinauzwa kwa bei nafuu

    Habari wakuu Mashine hizi za kisasa za kushona kwa kutumia umeme zinauzwa . Unaweza kushona mishono zaidi ya ishirini kwa wakati mmoja kwa kadri utakavyopenda wewe. Bei yake ni Shilingi 200,000/- kwa kila moja. Mashine zipo Dar Es Salaam ila unaweza kutumiwa popote. Karibuni
  11. GoldDhahabu

    "Watekaji" wanatoa wapi pingu?

    Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo! "Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini Jeshi la Polisi lilikana kuwatambua, kwa hiyo "hawakuwa" askari Polisi. Waliojaribu kumteka...
  12. G

    Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  13. Lycaon pictus

    Hizi ndege zinazotengenezwa Tanzania zinauzwa bei gani?

    Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
  14. Meneja Wa Makampuni

    Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  15. M

    T-shirt mpya zinauzwa

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 TSHIRT MPYA KUTOKA CHINA ZINAUZWA KWA BEI YA JUMLA ZIPO SIZE MBALIMBALI KUANZIA PIECE 100 Tsh 3,400 UKIWA NA Tsh 340,000 UNAPATA BANDO LA TSHIRTS. UKIHITAJI PIECE ZAIDI YA 1000 UNAPATA TUPO DAR ES SALAAM MTAA WA AGGREY KARIBU NA KITUMBINI UNAWEZA UKAFIKA MWENYEWE AU UKATUMA MTU...
  16. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  17. Manka R

    Pagale kinauzwa Kinondoni

    1. Ipo karibu na Open University ukubwa wa eneo hatua 12*8 = Bei Mil34 2. Ipo Kinondoni shamba karibu na Muslim, ukubwa wa eneo 20*12= Bei Mil 52 3. Ipo Kinondoni shamba ukubwa wa eneo 16*12 = Bei Mil 52 (Hii inahitaji marekebisho kidogo) 4. Ipo Kinondoni karibu na Shule ya Muslim ukubwa wa...
  18. brainstorm007

    PIKI PIKI ZINAUZWA AINA YA BOXER

    Serious buyer Boxer Price Tsh 2.75m Call 0698248323
  19. A

    Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  20. 90sgeneration

    DOUBLE DEKA 3.5*6 ZINAUZWA

    kama unavoziona ziko 10 kila moja ni 230k material ni mbao ngumu location : Ilala 0697224996
Back
Top Bottom