zingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Southern Giant

    Mambo 25 ya msingi ya kuzingatia unapoenda kununua utelezi kwa kahaba

    Habari zenu vijana wapambanaji. Nimeikuta sehemu nimecopy na kuiwasilisha kama ilivyo, twende sawa hapo chini kwa kuangalia mambo 25 ya kuzingatia unapoenda kununua Utelezi. Mambo haya pengine ni ya aibu na hayasemeki kwa urahisi tena hayafurahishi kusemwa hadharani. Lakini leo nitayasema Kwa...
  2. Kainetics

    Zingatia Haya Na Hutotapeliwa Kamwe Mtandaoni

    Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile. Mtandao ni sehemu kubwa na pana sana, penye muingiliano wa watu wa kila aina. Kama kuna watu wema na wenye nia nzuri, iko...
  3. Jack Daniel

    Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  4. stakehigh

    Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  5. W

    Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  6. Genius Man

    kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  7. ngara23

    Zingatia mambo 10 haya Kwa mkeo

    1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe 7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie, 8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe 9 Mkeo sio...
  8. ngara23

    Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

    Hapa Sina maelezo mengi Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo, kiswaswadu ndo kina uhalifu mwingi
  9. Nelson Kileo

    Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  10. Mchafuu

    Kijana ambaye unaingia kwenye mahusiano zingatia hili

    Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path. Manzi akikuheshimu...
  11. Magical power

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako.

    Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀 Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
  12. mdukuzi

    Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya. Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
  13. The Eric

    Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

    Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha. Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa...
  14. M

    Mwanangu ukifika ugenini zingatia haya ili ufanikiwe

    MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE. Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia, yawezekana ni ajira mpya au kutoka nyumbani kwenda mkoani kutafuta maisha. Wengi tukifika ugenini huwa...
  15. Mr Dudumizi

    Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  16. ngara23

    Ukiwa na hela (tajiri) zingatia haya, tafuta watu

    1. Una hela huna mpambe ni ajabu. Wewe unajisifu una hela huna mpambe, unapambana mwenyewe, husemwi, hisifiwi. Hizo ni pesa au maagizo ya mganga? 2. Unajisifu una hela, unakamatwa na mambo kesi ya uzurulaji, hata mambo hawakuogopi, unapanda karandinga la mambo. Hizo hela au hujielewi? 3. Una...
  17. D

    Zingatia haya ili uweze kupata au kushinda Tender mbalimbali

    Nyaraka za zabuni (Tender documents) ni mkusanyiko wa nyara-ka zinazoandaliwa na taasisi nunuzi kwa lengo la kuwaalika wazabuni wenye sifa za kushiriki katika mchakato wa zabuni ambapo hatimaye mmojawao hupatikana na kupewa tuzo ya mkataba. Sehemu kubwa ya maelezo yaliyomo kwenye nyaraka za...
  18. Comrade Ally Maftah

    Unapopata nafasi ya kuwa karibu na Viongozi zingatia haya

    UNAPOPATA NAFASI YA KUWA KARIBU NA KIONGOZI/ MTU ANAYEKUZIDI KIPATO/ MAARIFA/ DARAJA/ CHEO, ZINGATIA HAYA Na Comrade Ally Maftah Ukitaka kufanikiwa ni lazima ujenge ukaribu na watu kadhaa wanaokuzidi maarifa/ elimu / kipato / kipawa / ushawishi / mvuto / cheo, kwa lengo la kupata nafasi ya...
  19. Tate Mkuu

    Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume. Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:- 1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye. 2...
  20. Aramun

    For Men: Wanawake hawathamini ndoa tena, unapooa zingatia yafuatayo

    Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao. Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu...
Back
Top Bottom