zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Q

    Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

    Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya. --- Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter...
  2. B

    Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  3. Sakata la Kuvurugwa Soko la Korosho: Zitto Kabwe aibua maswali mazito dhidi ya serikali.. Adai mahesabu yanagoma!

    Leo katika uchambuzi wake wa hotuba ya bajeti ya serekali iliyowasilishwa juzi bungeni, Mh Zitto Kabwe ameibua maswali vigongo ambayo yanahitaji majawabu ya uhakika kutoka serekalini. Zitto amesema mahesabu yanakataa. Hata mimi naafikiana naye.... mahesabu yanagoma kabisa! Pitia presentation...
  4. Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  5. Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

    Kila la kheri Kiongozi wangu wa Chama cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe katika hukumu ya kesi inayokukabili itakayotolewa Mei 29, 2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Ni katika kesi ya "uchochezi' (Kesi ya Jinai Na. 327/2018). Watanzania dua na mshikamano wenu ni muhimu...
  6. J

    David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

    Mbunge wa Momba mh David Silinde yuko mubashara Star tv katika kipindi cha medani za siasa akizungumzia sintofahamu ya uanachama wake ndani ya Chadema. Up dates; Silinde amesema yeye siyo mwanaharakati hata Mbowe analijua hilo na kwamba yeye na Zitto ni marafiki lakini baadhi ya viongozi...
  7. J

    Zitto Kabwe na Cecil Mwambe waliondoka CHADEMA kishujaa bila kuogopa njaa!

    Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge. Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya. Maendeleo hayana vyama!
  8. Polisi yamtaka Zitto Kabwe kuwasilisha taarifa za Kigogo ili akamatwe

    Jeshi la Polisi nchini limemtaka Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto kuwasilisha taarifa haraka za mhalifu kwa njia ya mtandao, anayetafutwa na serikali kwa muda mrefu anayejiita Kigogo, ili mhalifu huyo akamatwe. Limesema hivyo kutokana na taarifa iliyotolewa hivi karibuni na...
  9. S

    Zitto Kabwe vs Prof. Kitila Mkumbo juu ya ujenzi wa SGR

    Zitto Kabwe: Uharibifu wa Uchumi unaofanywa na Serikali yaMagufuli ni mkubwa sana. Itachukua miaka 10 kurudi Hali ya mwaka 2015 ( ambayo nayo haikuwa nzuri) iwapo ataondolewa madarakani mwaka huu. Akipata miaka 5 mingine itachukua miongo 2 ( miaka 20, two decades) na Marais 2 kurudi 2015 Zitto...
  10. Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

    Leo Februari 14, 2020 Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye yupo nje ya nchi katika harakati za kuhami Demokrasia yetu ya Tanzania kwa kuhamasisha mshikamano na Jumuiya za Kimataifa, ameandika yafuatayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter; Aprili...
  11. Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

    Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena. ======== Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
  12. Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini

    Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
  13. Zitto Kabwe Mtegoni

    Hii ni alarm ya hatari , yetu macho .
  14. Zitto Kabwe adai barua yake kwa Benki ya Dunia inapotoshwa. Asema hajazuia mkopo kwa Tanzania bali amewatetea watoto wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandikia uongozi wa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola za Marekani milioni 500 ambao Tanzania imeomba kwa benki hiyo. Akiwa mjini Toronto, Canada juzi, Zitto alidai si lengo lake kuzuia misaada...
  15. J

    RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

    Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini. Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
  16. N

    Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

    Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu So pathetic...
  17. Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

    Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi. Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na...
  18. J

    Kitendo cha Zitto Kabwe kutumia " ubunge" wake kuikosesha serikali mkopo wa WB kimethibitisha kauli ya Prof Assad kwamba Bunge si Imara

    Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake. Hapa nina maswali mawili: Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
  19. Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

    Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile. Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema...
  20. Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli

    ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI. Na David maphone Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu. Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…