zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Simon Martha Mkina

    President Magufuli exploits his incumbency

    Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since independence in 1961, has never lost an election. It is led by incumbent president Dr. John Magufuli who...
  2. Zitto

    Uchaguzi 2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  3. MIMI BABA YENU

    Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  4. Cannabis

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  5. N

    Uchaguzi 2020 Ndugu Zitto wakati unagombea mwaka 2015, uliahidi kutoa mikopo kwa vijana hususani waendesha pikipiki

    Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini. Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
  6. J

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe atoa sababu 5 za Kigoma kuikataa CCM

    ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
  7. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya Upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar. Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais...
  8. J

    Uchaguzi 2020 Ila Tundu Lissu ana ujasiri. Unguja alimpigia kampeni Maalim Seif na Kigoma kampigia kampeni Zitto Kabwe

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza. Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif. Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea...
  9. J

    Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  10. Dam55

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  11. Dam55

    Zitto Kabwe ni faida gani unaipata kwa matamshi haya?

    Kama watanzania hatuwezi kunyamaza kimya tukiwachekea wanasiasa wa hivi inaonekana kuna faida fulani wanayo ipata kwa kupitia haya matamko. Mnataka kutuaminisha nini watanzania na tukisha amini hicho mnachotaka tukiamini Kisha nini kifuate? Tunajua haya matamko yenu yana nia ovu Ila mjue tu...
  12. Dam55

    Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

    Anaandika Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter. "Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao. Kwa Kigoma nimesikitika kuwa sauti muhimu kama Nsanzugwanko, Serukamba na Hasna hawatakuwapo Bunge la 12. Kwa Nchi uzoefu wa Mzee Chenge...
  13. M-mbabe

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  14. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe ndiye atakayesababisha CCM waingie Ikulu kiulaini 2020

    Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear. Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu. Hata wananchi wa kawaida...
  16. Mmawia

    Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo. Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
  17. Leslie Mbena

    Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  18. Zitto

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  19. Nyendo

    Zitto Kabwe aripoti polisi Lindi, atakiwa kurejea tarehe 20 Julai

    Leo tarehe 01 Julai 2020, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe na viongozi 7 wa Chama wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Lindi kama walivyohitajika. Kiongozi wa Chama na viongozi hao pamoja na Mbunge wa Kilwa Kusini aliyemaliza muda wake Ndugu Suleiman Bungara walikamatwa na...
  20. Chachu Ombara

    RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
Back
Top Bottom