zitto

  1. Zitto: Chadema kina mahusiano na chama cha RENAMO 'wauji' cha huko Msumbiji.

    Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf. Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi...
  2. Zitto Kabwe nae ahojiwe na polisi ili genge la wasiojulikana lijulikane, waliompiga Lissu risasi na waliompoteza Ben watajulikana.

    Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa. Huu...
  3. Josina Machel: Zitto Kabwe November 2014

    Josina Machel katika S is for SAMORA Uhuru wa nchi ya Msumbiji hauwezi kuelezwa bila kumtaja Samora Machel na bila kuitaja Tanzania. Hata hivyo Watanzania wengi na pia wana Msumbiji wengi wa kizazi cha sasa wanapoteza kumbukumbu kuhusu nafasi ya Tanzania katika harakati za ukombozi wa nchi...
  4. Kwanini iwe Mwingira na sio Zitto?

    Shutuma au sijui maelezo aliyoyatoa Mwingira Jana jumapili hayana tofauti na aliyoyasema Zitto. Zitto ameenda mbali na kusema anawafahamu kwa majina waliotumwa na Utawala wa Magufuli kumchomea nyumba. Swali, mbona sijasikia mahali popote Zitto akiitwa kuhojiwa? Why Mwingira??
  5. Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

    Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola. My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
  6. Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

    Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT. Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
  7. M

    Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini. Mheshimiwa, Zitto Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
  8. B

    Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

    Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
  9. Waziri Simbachawene, Zitto akamatwe na kulisaidia jeshi la polisi kumpata kijana aliyempa taarifa kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake

    Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki. Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko Mtwara. Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na...
  10. Yeriko Nyerere usihamishie hasira zako kwa Zitto Kabwe, muacheni Mwami atufundishe siasa

    Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika...
  11. Q

    Mbowe: Sijaomba msamaha wala sijamtuma mtu kuniombea msamaha

    KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki. “sijaomba msamaha...
  12. Zitto Kabwe Jitafakari

    Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa, "asaidie" ili Mbowe awe huru. Nilisikiliza pia majibu ya rais...
  13. #COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  14. Je? Zitto Kabwe ni kibaraka wa awamu ya tano chini ya serikali ya Samia Suluhu Hassan

    Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa. Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
  15. Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  16. Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

    Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala? Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
  17. Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  18. B

    Zitto hakumtaja Mbowe yawezekana alimaanisha Yeyote

    Alichokisema Mh. Zitto ni hiki hapa: 1. Hakuna popote alipomtaja Mh. Mbowe. 2. Amezingatia na kuheshimu wasiokuwapo kwa sababu zao. 3. Ameomba "kusaidiwa" kwa mwenzao ambaye angekuwa hapo ila kwa changamoto za kisheria. Chadema ulikuwa ni msimamo wao kutokwenda kwenye mkutano huu. Sababu zao...
  19. S

    Kwahiyo Mbowe anaweza kufutiwa kesi kwasababu Zitto kamuomba Rais amuachie?

    Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi. Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa...
  20. K

    Kumbe Zitto kapangiwa cha kusema mkutanoni

    kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…