zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jicho la Tai

    Wasio na ajira ndio wapewe kazi kwenye zoezi la Anwani za Makazi na Sensa kuwawezesha kiuchumi

    Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato. Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
  2. kavulata

    Zoezi la Anuani za makazi ni Bomba lakini kasoro hii itajitokeza

    Baada ya halimashauri na vitongoji kutakiwa waweke wenyewe nguzo na vibao vya majina vya mitaa Yao tayari kumeshazorotesha zoezi Zima za Anuani za makazi. Kwani huko mitaani Kuna shida ya mchwa, mvua, Kuni, wahuni na umaskini. Kama watatumia Mbao/miti kwenye kuweka alama hizi itakuwa kazi ya...
  3. FRANCIS DA DON

    Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

    Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
  4. peno hasegawa

    Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

    Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe. Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania. Pia soma Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
  5. kavulata

    Zoezi la Yanga kuandikisha wanachama kigiditali limepigwa na kitu kizito Zanzibar

    Hakuna mtu mwenye huzuni kubwa akalipia starehe. Sanasana atanunua kileo ili azisahau kidogo huzuni zake. Yanga kupoteza kombe la mapinduzi litavuruga moto wa mashabiki kujiandikisha na kulipa sh 29,000 kigiditali. Viongozi wa Yanga hawakuangalia alama za nyakati kwa kuzindua mfumo wa Klinet na...
  6. J

    DC Jokate: Hatulazimishi watu kufanya usafi, bali litakuwa zoezi shirikishi

    DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni hiyo...
  7. GwaB

    Kwamba zoezi la kuitafuta ndege iliyopotea pori la akiba Selous limesitishwa

    Nimesoma mahali kuwa lile zoezi la kuitafuta ndege ndogo iliyopotea ikiwa na rubani mmoja limesitishwa baada ya wiki kadhaa za kuitafuta. Njia zilizo tumika kuitafuta na kushindwa kubaini hata mabaki ya ndege hiyo kama haikuvuka mpaka wa JMT pia hazijawekwa wazi. Inashangaza kuona wakati huu...
  8. ndenga

    Baada ya zoezi la kuwapanga wamachinga, na hili liangaliwe...

    Nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa zoezi liloratibiwa vizuri sana la kuwapanga Wamachinga. Hili zoezi linaweza kuwa na lawama chache lakini ukichukulia tulipokuwa na tulipofikia kiukweli tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ombi kubwa katika hili ni kuhakikisha hawa Wamachinga...
  9. F

    Zoezi la kuondoa Machinga limefanikiwa?

    1. Tathmini ya kuondoa Machinga ikoje? 2. Zoezi limefanikiwa? 3. Kama halijafanikiwa kikwazo ni nini? 4. Kama limefanikiwa nini cha kujifunza kwa baadaye? 5. Miji imekuwa misafi sasa? 6. Foleni zimepungua? 7. Wenye maduka wako huru? 8. Mitaa ya katikati ya miji inapitika? 9. Mitaro inaweza...
  10. D

    Wanahabari na wanasiasa kutoka makundi ya vyama acheni kupinga zoezi la machinga, mnatafuta sifa za kijinga

    Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake! Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi. Kero ya machinga tunaipata sisi...
  11. M

    Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  12. E

    Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Machinga kujaa kila sehemu mijini ni tatizo kubwa ila hoja ya kuwaondoa katika maeneo yao kiholela ni unyama usiofikiria athari za kimaisha kwa hawa watu na kujiuliza tumefikaje hapa tulipo? Suluhisho la machinga ni kwa miji yote kutengeneza masta plani za miji na kuainisha maeneo ya wafanya...
  13. A

    SoC01 Changia damu, okoa maisha"Ukweli kuhusu zoezi la uchangiaji damu"

    UTANGULIZI "Changia Damu,Okoa Maisha"hii ni kauli mbiu ya mpango wa taifa wa damu salama inayotumika kuhamasisha uchangiaji wa damu ili kuokoa maisha. Watu wengi,watoto kwa watu wazima wanahitaji damu kila panapoitwa leo kutokana na ajali,maradhi,baada ya kujifungua n.k Moja ya taarifa...
  14. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  15. Jensen salamone

    Walimu 10, 000 kuajiriwa kabla ya disemba, zoezi hilo kufanywa na tume ya utumishi wa walimu badala ya wizara

    WAZIRI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo inasubiri kibali cha kuajiri walimu 10,000 kabla ya Desemba, mwaka huu. Akizungumza mjini Dodoma jana, Ummy alisema itakuwa mara ya kwanza Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) itahusika kuajiri...
  16. TheDreamer Thebeliever

    Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

    Habari wadau! Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu. Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
  17. B

    #COVID19 Chanjo - Mrejesho: Wizara tambueni changamoto hizi

    Mrejesho - day 1 (2nd Aug): Nitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa. Tumefika kujiandikisha 08:00: wenye magonjwa mengine na wazee 50+ kwa mujibu wa waraka wa wizara. Karibu...
  18. Zero IQ

    Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

    Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa. Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu, siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
Back
Top Bottom