zuchu

Zuhura Othman Soud (Zuchu)
Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)

Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"

She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
  1. M

    Zuchu anaenda vunja record ya diamond- most viewed song bila kushirikisha

    Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views wengi kwa wasanii bila assist/featuring, kwa hiyo Zuchu anaenda weka record ambayo sidhani Kama Kuna...
  2. Dong Jin

    Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

    Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje? Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida...
  3. The Sheriff

    Zuchu hafanyi matangazo ya vileo. Vipi kuhusu kazi zinazodhaminiwa na makampuni ya vileo?

    Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings. Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo...
  4. sky soldier

    Lavalava ana mkosi upi, Mbosso na Zuchu walimkuta ila wamemchapa gepu

    Lavalava anaimba vizuri sana sasa sielewi tatizo lipo wapi. Lava lava kaanza kuachia kazi zake 2017 may Hata baada ya kutafuta kiki katoa ngoma nzuri ila bado ina sua sua Mbosso - Agosti 2018 zuchu - april 2020, saizi ni moto mkali sana
  5. sky soldier

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  6. katoto kazuri

    Zuchu anajua kuimba kuliko Alikiba?

    Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu? nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu. na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
  7. sinza pazuri

    Zuchu kuendelea kumburuza Ali Kiba, hii ina maana gani?

    Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana. Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba? Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kati ya AISHA na ZUCHU yupi yupo vizuri kwenye vokoz?

    Habari za Leo wadau, Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania. Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu...
  9. B

    Ali Kiba amfundisha Zuchu namna ya kufanya kazi Youtube

    VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE. Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae...
  10. Leak

    Msanii Zuchu ameshauriwa na nani kutoa wimbo huu wa Meja Kunta. Mashabiki tumepigwa hakika

    Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure. Kwa level za wimbo wa...
  11. Franky Samuel

    Zuchu Balozi mpya wa ZANTEL

    Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
  12. Tea Party

    Zuchu avunja rekodi nyingine huko Boomplay

    Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay. Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay. Kwa Afrika mashariki hakuna Album wala EP iliyowahi kufikisha streams hizo ndani ya Boomplay. Sio...
  13. sinza pazuri

    Zuchu vs Kondegang wote

    Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah. Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla. REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG: VIEWERS WA IBRAAH 1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12 2...
  14. Kigoma Independent

    Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

    Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU...
  15. Hisha Sorel

    Is Sukari by Zuchu Indicative of WCB and Tanzanian Artists Abandoning Anti-Black,Africanism,and Colourism in Music Videos? If so,thank Kendrik Lamar

    I still remember watching Kendrick Lamar and SZA music video “All the stars” and how it made me feel about blackness, beauty, mysticism, and power. Until then, I had not yet seen a positive portrayal of African-ness. Compared to its European counterpart, African culture, scenery, and its people...
  16. happyxxx

    Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

    ingia kwenye link kisha vote https://www.mtvmama.com/info/aljvas/vote jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu category ni breakthrough act
  17. S

    Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  18. IslamTZ

    Haya ni maoni yangu kuhusu stage performance ya Zuchu

    Jana nimengalia show ya Zuchu na nina maoni yafuatayo: Kwanza, nashauri 'stage show' wake wanapaswa kuwa wanaume kwa sababu aina ya nyimbo zake. Nyimbo za Zuchu ni za mapenzi na iteleta maana akiwa na boy wa kushow ‘stage love’ naye. Au kama vipi at least mix – two boys and two girls, lakini...
  19. I am Groot

    AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

    Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa. Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua tuzo za -: Best east Afrika awards ya (Female & Male - DIAMOND PLATNUMZ & NANDI). Huku tuzo ya -...
  20. H

    Zuchu apata dili nono la ubalozi

    Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania Tridea cosmetics. Baada ya hiyo deal msanii Zuchu ametoa shukrani kwa mashabiki "Nashukuru Sana...
Back
Top Bottom