Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)
Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"
She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
Habari za leo wakuu,
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa ZUCHU.
Nataka tumlinganishe na Zuchu kupitia hili song. Nani yupo juu ya mwenzake.
Pengine Aisha...
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mpaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mpaka kasichana kalichoanza...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa.
Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma...
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa
Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata."
All in all nyimbo ni nzuri
Naona nyota ya huyu binti Ni Kali si mchezo tangu atambulishwe kwenye game haizidi hata miezi 6 ngoma zake alizoachia zimempa nominees kwenye tuzo za Afrimma kuania kwenye vipengele viwili Cha best Female East Africa na best new coming artist
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu wote na rika zote. Hata kama hutaki kucheza unaweza kutingisha bega tu.
Geita hapa muda huu ni jua...
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati.
Zuchu pia ana subscribers laki tatu katika account yake ya YouTube ambayo imefikisha viewers million 36 akiwaacha mbali...
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Mauzo ya Ticket
Mapato kutokana na Mauzo ya Ticket
Tathmini ya Show
Mahudhurio ya Wasanii tofauti tofauti
Nimeleta hii mada jamvini, kufahamu ni nani kati ya zuchu wa WCB na ruby nani zaidi?
Utime weka pembeni, ndio uchangie mada..
Ukitoa na sababu itakuwa vizur zaid ili tuelewe poin yako...
Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.
Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
Msanii Nandy asifia uwezo wa Zuchu kimziki "Mimi Kama mwanamziki inaweza kuwa ngumu kusifia kazi za mwenzangu lakini kwa Zuchu kiukwel anajua Sana, Cha msingi ajitahidi kufanya vizuri atafika mbali Sana maana Mimi Ni mshabiki wake pia"
Ikumbukwe pia nandy na Zuchu walikuwepo wote kwa pamoja...
Msanii mpya wa kike wa WCB leo atazindua EP yake baada ya kutoa single song yake ya "Wana" ambayo Hadi sasa Ina viewers million 1+ kwa siku 2 Pekee nakuwa msanii wa kwanza wa kike ambayo ngoma yake ya kwanza imefika million 1 kwa siku mbili tu.
Ngoma hizo ambazo zipo kwenye EP yake ni Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.