ninosi
Senior Member
- Jun 30, 2022
- 151
- 333
Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa.
Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League.
Kesho Simba Queen inaenda kutuheshimisha kwa kua timu ya kwanza kutoka ukanda Wa Africa Mashariki na Kati kutinga fainali ya CAF Women's Champions League.
Simba Queen kesho nendeni mkaliheshimishe Taifa kwa kuwaadhibu ipasavyo Mamelodi. Hii itasaidia kufuta aibu kubwa tutakayoipata kama Taifa baada ya 'Wala Mhogo' kukung'untwa vilivyo na 'Ndugu Zetu' Club Africain.
NB: Asante sana CAF kwa kupanga mechi hizi mbili siku moja, mana sura zetu watanzania tungeziweka wapi kama 'Wala Mihogo' wangecheza peke yao.
Kwa kifupi sana, Rais wa CAF, Dr. Patrice Motsepe mitano tena.