Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kwani wewe hukijui cham dola!!Siasa za kipumbavu kabisa, mtu anabuguliwa kutokana na chama anachokifuata.
Yaani mtu akiwa CCM anakuwa Ni raia daraja la Kwanza, na wapinzani Ni raia daraja la pili.
Hi dhambi uliyoasisiwa na Magufuli Mungu atamhukumu nayo
Cheyo! Inakuwaje serikali huwa haimuoni kwenye kiti kilichoeksipaya? TBS, TMDA, NIMRI mpo! Mbona Mbowe mlimng'ania mpaka Sumaye kang'oka au Cheyo hana sumu.Kiukweli mawaziri wakuu wastaafu Mzee Lowassa na Sumaye walijivuruga sana walipohamia upinzani na kuna wakati niliuliza hapa jamvini kama uamuzi wao ulikuwa sahihi.
Lakini jambo jema ni kwamba waliyagundua makosa yao na kujisahihisha na leo mzee Sumaye yupo kwenye safu ya viongozi wa taifa......akimwangalia kwa mbali mh Mbowe anayekaa safu ya wanasiasa akina Momose Cheyo na Prof Lipumba.
Maendeleo hayana vyama!
Usawa Ni upi? Matunda ya Uhuru leo yamegeuka kubaguana kwa misingi ya kiitikadi za kisiasaKwani wewe hukijui cham dola!!
Kwani Chadema kuna vyeo?!Bora amerudi ccm kwenye vya dezo maana upinzani hamna vya dezo. Kama ukipata vya dezo ndio heshima yako inarudi acha iwe. Waulize hata mzee Mgaya na mchungaji Erasto kuwa vya dezo humaanisha heshima?
Siku mkiwa chama dola nanyi mtakula matunda, kazaneni msisuse tena.Usawa Ni upi? Matunda ya Uhuru leo yamegeuka kubaguana kwa misingi ya kiitikadi za kisiasa
Yupo ameketi jirani na Dr Bashiru na mzee Mangulla!
Kwani Chadema kuna vyeo?!
Kiukweli mawaziri wakuu wastaafu Mzee Lowassa na Sumaye walijivuruga sana walipohamia upinzani na kuna wakati niliuliza hapa jamvini kama uamuzi wao ulikuwa sahihi.
Lakini jambo jema ni kwamba waliyagundua makosa yao na kujisahihisha na leo mzee Sumaye yupo kwenye safu ya viongozi wa taifa......akimwangalia kwa mbali mh Mbowe anayekaa safu ya wanasiasa akina Momose Cheyo na Prof Lipumba.
Maendeleo hayana vyama!
Walimzoea wakaona wanafanana nae kumbe mwenzao ni mtu mkubwa sana
Sijui una maana gani unaposema kususa kwao hakuna impact!Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!
Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!
Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Wajukuu zako ndo watashuhudia hloipo siky inakuja CCM kitakua chama cha upinzani! hapo mtalia na kusaga meno
ipo siky inakuja CCM kitakua chama cha upinzani! hapo mtalia na kusaga meno
Siyi cheo ni nafasi!Kilichomtoa Sumaye ni cheo.
Haya ni mawazo ya mlevi