09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Hivi hao askari wanaomlinda Jiwe kama itatokea ambush kidogo basi watafyatua tu hovyo hovyo?
usitegemee ambush ya risasi, hayo yalikuwa ya zamani na ulinzi huo huwezi kunyanyua bunduki. hapo kwa technology ya leo actually hata kuwa uwanjani ni risk maana bomu litapiga radius ya mita say 20, you are all done! kwahiyo either uingie uwanjani au ubaki nyumbani!
Lakini hakuna haja ya kufanya hivyo, haya ya Jiwe ni ya mpito... suicide bombers ni ughaidi kuua watu wasio na hatia!
 
Happy Independence Day 58
IMG-20191209-WA0053.jpg
 
tatizo jamaa zako wanamiliki 99.99% ya serikali za mitaa ambazo zinaungwa mkono na <38% ya wananchi.

so, 2020 (kwenye uchaguzi utakaokuwa chini ya strict observation ya EU & US) kuna 62% ambao hawawaungi mkono hao waliojimilikisha hizo 99.99%.

tusipoangalia, post 2020 election ndiyo Watanzania tutaanza kufuata nyayo za mateso waliyopitia Wazimbabwe.
nitakutafuta wakati huo mkuu ili tuongee mipango ya kuzamia meli!!
M- mbabe thanks a lot! Pascal Mayalla hana power ya analysis ya that level! yeye ni petty analysis ya kiwango cha chini kabisa! Logic is very simple, kama unapendwa na wananchi by 99.999%, nenda equal ground mshindane, unaogopa nini mpaka kuwaengua wapinzani wako?
 
usitegemee ambush ya risasi, hayo yalikuwa ya zamani na ulinzi huo huwezi kunyanyua bunduki. hapo kwa technology ya leo actually hata kuwa uwanjani ni risk maana bomu litapiga radius ya mita say 20, you are all done! kwahiyo either uingie uwanjani au ubaki nyumbani!
Lakini hakuna haja ya kufanya hivyo, haya ya Jiwe ni ya mpito... suicide bombers ni ughaidi kuua watu wasio na hatia!
Leo alivyoingia Kirumba wale askari wamezunguka gari wameshikilia trigger sasa najiuliza lengo ni kuwatisha wanyonge au? Maana mtu akitaka kumaliza kazi wala haingii uwanjani na ndiyo maana nikauliza ikitokea mtu akafanya ambush watakaofyatuliwa risasi hovyo hovyo si ni wale waliokaa majukwaani? Au huo ulinzi wa leo ni kwakuwa Mbowe yupo? Yani hao askari wanakera maana ulinzi wa Rais unaendana na technology na possibilities za mashambulizi. Au labda ni show off za kisukuma maana haya kwa mkwere sikuyaona
 
Ni usukuma unamsumbua. Kwa technology ya leo, na uchanga wetu katika technology ya ulinzi, bunduki za hao askali hazisaidii, why all these troubles? It is a matter of remote controlled bombs!
 
Kuna baadhi ya wanasiasa wamesema hawawezi kuhudhuria kwenye sherehe ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika kwa sababu hakuna uhuru.

Tusije kushangaaa kuona wanasiasa waliosema hawawezi kuhudhuria wanakuwa mstari wa mbele katika kuelezea na kukosoa yatakayojiri kwenye sherehe hizo katika uwanja wa Kirumba, Mwanza.

Hawa wanasiasa lazima waelewe kuwa hata kuangalia tukio la kumbukumbu ya uhuru kwenye luninga (Tv) haina tofauti na mtu ambaye amehudhuria sherehe hizo. Kama hawataki kuhudhuria kwenye sherehe hizo kwa sababu hazina maana kwa sasa basi wasiangalie hata yanayojiri kwa kutumia luninga (Tv) ili kuutendea haki msimamo wao.

Kutokuangalia yanayojiri kwa njia ya luninga (Tv) watakuwa wamelitendea haki tangazo lao la kutokuhudhuria kwenye sherehe hizo.

Nchi hii kuna baadhi ya watu utawasikia wakisema, ''Mimi huwa siangalii kituo fulani cha luninga'' lakini cha kushangaza huwa wa kwanza kuelezea tukio linalotokea kwenye kituo hicho cha luninga!

pumba
 
Mbona unahariri maneno kwenye comment yangu Moderator huyu amekuwa akifanya hivi mara kwa mara
siwezi kuhariri post yako, never, hakuna option ya hivyo. Unalialia kama mwanamke jamani au wewe ni Jike? Eti mods wamenipiga!!!!!!!!!!!!!!!!!!, nipigie simu kuwa mbona unafanya hiviv, siyo kushitaki kama jike!
 
Nimeupenda mnyoosho wa Magufuli
Amewanyoosha wapinzani mpaka wamenyooka kama moja
Amenifundisha kuwa msimamo binafsi ndiyo kila kitu
Utadharauliwa mwanzoni ila baadaye wakishakusoma kuwa upo serious watafyata mkia
Magufuli endelea kukaza ili unafiki uwaishe wanafiki
wewe utakuwa darasa la saba! extremly shallow analysis! nakuachia wenzako!
 
Labda ni macho yangu yameona vibaya lakini najua wengine wenye Macho mazuri zaidi yangu mtanisaidia kwani nimetoka Kumuona Rais wa Malawi leo akikagua Gwaride lake huku akifanya ‘ Mzaha ‘ kujifanya nae anatembea ‘ Kiukakamavu ‘ mbele za Wanajeshi waliokuwa ‘ Serious ‘ kabisa wa nchini Malawi halafu kuna muda huyo Rais akaacha na Kuanza Kucheka kitu ambacho sidhani kama ni cha Busara sana na kinaonyesha ‘ Dharau ‘ kwa Wananchi na Jeshi zima la Wananchi wa Malawi.

GENTAMYCINE nawatakieni Sherehe njema za Uhuru wa nchini Malawi na Asante Rais wa Malawi kwa dhihaka zako hizo.
 
"Nchi hii hakuna upinzani! " Ni kauli ambayo aliwahi kuitoa jamaa mmoja,nilibishana nae sana wakati ule kwa mahaba yangu juu ya CHADEMA. Leo hii natamani kumuona nimuombe radhi maana alichokinena kimetimia.
Iko wapi CHADEMA ile imara isiyoyumba kimisimamo? Iko wapi CHADEMA iliyokuwa ikihubiri na kusimamia demokrasia? Inasikitisha sana kwetu sisi tulioamini sera zao.
Hii si sherehe ya CCM bali ni ya kitaifa! Ni sherehe ya uhuru wa Tanganyika, hivyo inawahusu wananchi wote.

Waliohudhuria pale ni pamoja na wanaounga upinzani, hivyo ni faraja kwao kuona viongozi wao wapo pia.

Tatizo ni pale viongozi wa CCM wanapoziteka na kufanya ni za CCM! Huo ni ujinga ambao hata wenyewe unawasuta kwa hiyo ni wa kupuuzwa. Uwepo wa viongozi wa upinzani utawafanya washindwe kuropoka baadhi ya mambo. Huo ni ushindi kwa wapinzani!
 
Wapinzani wanasubiri Jemadari Magufuli atamke neno moja tu walijadili wiki nzima

Hawa jamaa hunifurahisha sana
atamke au achemshe. michemsho ndio inakemewa tofauti na uelewa mdogo. sio kosa kama IQ ndogo kosa kwa waliowaweka
 
Back
Top Bottom