Wacheni upumbavu, ukabila hauna faida, angalieni yanayoendelea Mynmar, Kenya na somalia
Wewe umejuaje kama hiyo tabia yako ambayo mtoto akisusa na wewe mzazi wake huwezi kula sio tabia ya hovyo?
Nani amekuambia mimi ni msukuma lakini pia unaonekana unachuki na wasukuma na una fikra za kibaguzi.
Kwa hiyo unataka kuniambia na kuwaaminisha wasomaji kuwa wasukuma wana tabia za hovyo!