09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

View attachment 1286176

Pichani : ni Mh Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati Mh Lazaro Nyalandu wakiingia uwanjani kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika , ambapo ilibidi shughuli hiyo isimame kwa muda kupisha mbinja na vifijo kutoka kwa raia

Funzo : usishindane na aliyejaaliwa , utaumia .
Amen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.
P.
 
Hiyo siku ya kumbukumbu siku hizi inadhaulika sana, itakuwa siku ya usafi
[/QUOTE
Ni kweli tuliambiwa itakuwa siku ya usafi ghafla inaadhimishwa kwa mbwembwe hawa jamaa ni mabingwa wa kutengeneza kituko halafu kuja kukitatua kwa mbwembwe.
 
Habari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika:

Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani.
Updates: Waziri mkuu na rais wa Zanzibar wanaingia uwanjani pamoja na makamu wa rais

Leo nawaona wanajeshi toka China wakiwa jukwaa kuu.

​

09:15 Rais Magufuli ndio anaingia uwanjani

Jamani mbona mazishi na usanii mwingi si siku zote mwasema hakuna Tanganyinga
 
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!

Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!

Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!

Nimeupenda mnyoosho wa Magufuli
Amewanyoosha wapinzani mpaka wamenyooka kama moja
Amenifundisha kuwa msimamo binafsi ndiyo kila kitu
Utadharauliwa mwanzoni ila baadaye wakishakusoma kuwa upo serious watafyata mkia
Magufuli endelea kukaza ili unafiki uwaishe wanafiki
 
Mimi nasubiri vijembe na kejeli vitakapoanza kushushwa, sijui wahusika wamekwenda na mioyo ya vyuma leo!?
 
Cheyo! Inakuwaje serikali huwa haimuoni kwenye kiti kilichoeksipaya? TBS, TMDA, NIMRI mpo! Mbona Mbowe mlimng'ania mpaka Sumaye kang'oka au Cheyo hana sumu.
Cheyo aliwahi "kupinduliwa" na akina Jidula Mabambasi na akina Dani Makanga kwa vikao wakati yeye hayupo.

Then aliweza kuwa na comeback ambayo akawafukuza uanachama akima Makanga na Jidula Mabambasi. Since then Cheyo ni kama mzee Kaguta. Huenda Freeman nae anafuata nyayo za Cheyo na Prof. Ibrah
 
Haya ni mawazo ya mlevi

Mbona watu wenye akili wote wanasema hivyo including na baba yako anasema kuna siku CCM kitakuwa chama cha upinzani. sasa unaposema maneno ya walevi, unajiaibisha !
 
"Nchi hii hakuna upinzani! " Ni kauli ambayo aliwahi kuitoa jamaa mmoja,nilibishana nae sana wakati ule kwa mahaba yangu juu ya CHADEMA. Leo hii natamani kumuona nimuombe radhi maana alichokinena kimetimia.
Iko wapi CHADEMA ile imara isiyoyumba kimisimamo? Iko wapi CHADEMA iliyokuwa ikihubiri na kusimamia demokrasia? Inasikitisha sana kwetu sisi tulioamini sera zao.
 
Habari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika:

Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani.
Updates: Waziri mkuu na rais wa Zanzibar wanaingia uwanjani pamoja na makamu wa rais

Leo nawaona wanajeshi toka China wakiwa jukwaa kuu.

​

09:15 Rais Magufuli ndio anaingia uwanjani

Tunashukuru kwa taarifa. Je, huu ni Uhuru wa Tanganyika au wa Tanzania Bara au ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
View attachment 1286176

Pichani : ni Mh Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati Mh Lazaro Nyalandu wakiingia uwanjani kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika , ambapo ilibidi shughuli hiyo isimame kwa muda kupisha mbinja na vifijo kutoka kwa raia

Funzo : usishindane na aliyejaaliwa , utaumia .
Please tuwekee angalau kipande (video clip) cha scene hii
 
Hivi hao askari wanaomlinda Jiwe kama itatokea ambush kidogo basi watafyatua tu hovyo hovyo? Ndiyo maana sehemu alipo sitaki kukanyaga maana ulinzi wake umekaa kihasara hasara sana. Watu wameshikilia trigger wamelizunguka gari la jiwe sasa ikitokea hata mtu akafyatua baruti tu si watauwa watu wasio na hatia! Very poor ulinzi wenye mikakati mibovu!
 
Amen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.
P.
Hoja ya kijinga iliyojaa wivu isiyohusiana na kilichoandikwa
 
Amen. Naunga mkono watu waliojaaliwa majaaliwa mbalimbali, wakati wengine wanajaaliwa kususia uchaguzi, wengine wanajaaliwa ushindi wa asilimia 99.9%, na kuimiliki serikali za mitaa ambazo ndizo za wananchi, halafu bado watu wanajinasibu, wanataka kwenda ikulu 2020!.
P.
tatizo jamaa zako wanamiliki 99.99% ya serikali za mitaa ambazo zinaungwa mkono na <38% ya wananchi.

so, 2020 (kwenye uchaguzi utakaokuwa chini ya strict observation ya EU & US) kuna 62% ambao hawawaungi mkono hao waliojimilikisha hizo 99.99%.

tusipoangalia, post 2020 election ndiyo Watanzania tutaanza kufuata nyayo za mateso waliyopitia Wazimbabwe.
nitakutafuta wakati huo mkuu ili tuongee mipango ya kuzamia meli!!
 
Back
Top Bottom