09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Kumbe wewe Mkuu M-mbabe hujajua kuwa awamu hii, we don't entertain ujinga huo wa EU, US na UNDP kutuingilia kwenye mambo yetu ya ndani!.

Nikuibie siri, tayari UNDP ameomba apewe bajeti ya uchaguzi Mkuu wa 2020 ili a mobilize funds, jamaa wame mute!. Kikawaida no objection ilitakiwa ipatikane 12 month's prior!. Tumewagomea hatutaki kusaidiwa na fedha masharti zao!. Watu tumenunua midege kwa cash, tutashindwaje kuendesha uchaguzi wetu?. Tena kwa Uchanguzi wa 2020 ili ufanyike exactly kama ule wa serikali za mitaa, hatutaki kabisa waangalizi wa nje. Hii ndio demokrasia yetu na huu ndio uchaguzi wetu.
P
Nimekuelewa sana ndugu
 
Inaelekea hata wewe ni mchawi. Unawezaje kuangalia tv na ku conclude kwamba hawa ni wachawi? Hayo mavazi ni jadi, ni mavazi wanayovaa wapiganaji wa kijadi waendapo vitani. Hizo ni mbinu za kumtisha adui.
Au umezaliwa miaka ya tisini nini. Ndio maana tunawafundisha hayo mjue. Ulitaka waje na suti kama mchungaji wako kanisani???
Oooh, kumbe ,umenielewesha
 
tatizo jamaa zako wanamiliki 99.99% ya serikali za mitaa ambazo zinaungwa mkono na <38% ya wananchi.

so, 2020 (kwenye uchaguzi utakaokuwa chini ya strict observation ya EU & US) kuna 62% ambao hawawaungi mkono hao waliojimilikisha hizo 99.99%.

tusipoangalia, post 2020 election ndiyo Watanzania tutaanza kufuata nyayo za mateso waliyopitia Wazimbabwe.
nitakutafuta wakati huo mkuu ili tuongee mipango ya kuzamia meli!!

Eti 'strict observation ya EU & US'....Who told you that?? Na kwanini kuwe na strict observation from outside?? Je, sisi tunaweza kufanya strict observation ya uchaguzi ndani ya EU countries na US?? Kwanini baadhi yenu bado mna mawazo ya kitumwa? Ours is a sovereign country as is the case to US and European countries. Uchaguzi wa 2020 ni uchaguizi wetu and we don't need their money...Kama watakuja kuangalia uchaguzi wetu na waje lakini hatutaki masharti..Umesikia wewe M-mbabe...ukitaka nenda ukamtembelee Pence, na akiwasifia kuwa 'uko nadhifu' unaona ni sifa...Ina maana sisi hatuwezi kuwa nadhifu?? .
 
AIC Makongoro mmenikwaza, kwanini mnazungusha bodi na kukatika nanyi ni watu wa ibada sana
 
Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Yani mpk sasa kwaya imeimba vizuri sana na ngoma ya kihaya pia imependezesha sana.
 
Eti 'strict observation ya EU & US'....Who told you that?? Na kwanini kuwe na strict observation from outside?? Je, sisi tunaweza kufanya strict observation ya uchaguzi ndani ya EU ccountries na US?? Kwanini baadhi yenu bado mna mawazo ya kitumwa? Ours is a sovereign country as is the case to US and European countries. Uchaguzi wa 2020 ni uchaguizi wetu and we don't need their money...Kama watakuja kuangalia uchaguzi wetu na waje lakini hatutaki masharti..Umesikia wewe M-mbabe...ukitaka nenda ukamtembelee Pence, na akiwasifia kuwa 'uko nadhifu' unaona ni sifa...Ina maana sisi hatuwezi kuwa nadhifu?? .
uuh punguza jazba!

hivi deni la taifa limefika bei gani vile?!
 
Waganga wale hkn sungu sungu pale ,nadhani kuna tambiko baadae ,Hahahaha

BTW ,hizo lile zoezi la utekaji ndio linakuaga slow vile? au kwakua ike ni demo
Hahah hapo kwny waganga kama kuna ukweli hivi mzee baba.

Aisee hilo zoezi ndo lilikua limeanza tu tanesco wakafanya yao wanakuja kurudisha naona Gari la zimamoto liko uwanjani mkuu.
 
Hivi wale jamaa wenye tshirt nyeusi na bunduki nzito mkononi kwa ule urefu ule ni wenzetu kweli?
Bila shaka wewe ni mluguru, hivi umeshafika Mara, moshi na Mwanza huko ndo kuna watanganyika wenye miili mikubwa.
 
Namuona Mbowe yuko sambamba na Lipumba na Katibu mkuu wa ccm katika meza moja.
 
Back
Top Bottom