Hii Chadema ya kina Nyalandu ya kwenda kuomba poo CCM Kirumba walah sijakubaliana nayo! Sasa naanza kuiona Chadema ya kina Lyatonga na Lipumba. Watani wa jadi tangu lini wakacheza mechi ya kirafiki?
Dar hamjui sungusungu ni nini...sisi wa tabora ni watu w sungusungu. Sungusungu huvaa hivyo.Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Vile vitakua ni vichawi halafu mpaka sasa vimo uwanjani na mvua imeyeyuka kirumba lakini sehemu zngne inanyesha😂😂😂😂😂mwenyewe nilijiuliza sungusungu gani hao kumbe fikra hizi sikuwanazo peke yangu
Yani mpk sasa kwaya imeimba vizuri sana na ngoma ya kihaya pia imependezesha sana.
@heci hilo ni kafara na watu wako kwenye ibadaNaangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Mi nmeona mavi mavi tu sijuwi wameokoa nini sasaUsinikumbushe yale mazoezi ya makomando nimecheka mpaka kichwa kinauma. Hasa yale ya uokoaji wa haraka,kushuka na kamba tu wametumia dakika 5! [emoji23][emoji23]
Hawatakagi ku-chalenjiwa,wanataka kuogopwa nakusifiwa kua ni hatari Afrika na dunia nzima.Usinikumbushe yale mazoezi ya makomando nimecheka mpaka kichwa kinauma. Hasa yale ya uokoaji wa haraka,kushuka na kamba tu wametumia dakika 5! 😂😂
Nini kazi ya jammer?Ni usukuma unamsumbua. Kwa technology ya leo, na uchanga wetu katika technology ya ulinzi, bunduki za hao askali hazisaidii, why all these troubles? It is a matter of remote controlled bombs!
#Katiba mpya...Ni kweli kwa sababy ni maadhimisho ya siku ya uhuru wa nchi ambayo ilishakufa (tanganyika)
Vile vitakua ni vichawi halafu mpaka sasa vimo uwanjani na mvua imeyeyuka kirumba lakini sehemu zngne inanyesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana Mkuu,nami naamini baadae wana KAZI NZITO NA NGUMU@heci hilo ni kafara na watu wako kwenye ibada
Leo list imetimiaaFredrick Sumaye hayupo hapo!? Mbona hajatajwa