09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Hivi tulipofanya usafi na fedha za sherehe kuzipeleka kwenye barabara ilikuwa tumezisusa au hatukuona umuhimu wake?
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!

Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!

Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
 
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Kwa hiyo na wao wameungana na Sheikh wa mkoa wa Dar?
 
Naona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.

Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.

Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.

Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
 
Nani Huyo ameigopwa?
Usinitafutie kesi kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu anamuogopa mtu fulani nikamponza bure huyo mtu!.

Angalia tarehe ya bandiko hili, halafu linganisha nini kilimtokea mtu huyu baada ya bandiko hili

Please!.
P
 
Naona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.

Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.

Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.

Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
Kuna jambo ndani yako ila umelileta kipuuzi
 
viongozi wa upinzani nawapongeza kuungana kwa pamoja kushekea miaka 58 ya uhuru. mmeondoa tofauti zenu za kisiasa.

index.jpg
 
Naona wapinzani akili inaanza kuwaingia na ule moyo wa kupinga pinga kila kitu umeanza kuwatoka.

Kwa hili nawapongeza sana . kitendo cha Mbowe kuhudhuria sherehe za Leo ni hakika akili imemrudia.

Magufuli ana uwezo kumfunza mpinzani wake kwa vitendo.

Najua wapo wapuuzi wachavhe watapinga lkn hamkatazwi pingine tu lakini ukweli Mbowe amenyooshwa.
Hata lema yupo. Kizuri hawajavaa magwanda. Ni shughuli ya kitaifa. Nashangaa marangi ya njano na kijani ya nini.
 
Fact
Inaelekea hata wewe ni mchawi. Unawezaje kuangalia tv na ku conclude kwamba hawa ni wachawi? Hayo mavazi ni jadi, ni mavazi wanayovaa wapiganaji wa kijadi waendapo vitani. Hizo ni mbinu za kumtisha adui.
Au umezaliwa miaka ya tisini nini. Ndio maana tunawafundisha hayo mjue. Ulitaka waje na suti kama mchungaji wako kanisani???
 
Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Sungusungu,,wako mahali pengi tz,,kwa kanda ya ziwa hasa kwa wasukuma mavazi hayo na namna wanavoonekana ni hivo hivo,,yaani pana mfananio kwa maeneo mengi na viongozi wengi wa makundi haya ni wazee wa mila,,na kiasili sungusungu ni kama morani kwa wenzetu wamasai,,uchawi inaweza kuwa sehemu yao
 
Back
Top Bottom