Hata kama ni wachawi bado ni watanzania! Na bahati mbaya serikali haitambui mchango wa wachawi na uchawi kwa ujumla. Km uchawi utaboreshwa kidogo na kutambulika tunaweza kuendelea km taifa.Naangalia maadhimisho ya sherehe ya miaka 58 ya Uhuru, Kuna kikundi cha sungusungu kwa kweli wamevaa kichawi kabisa na matendo yao hata hayaeleweki.
Bila shaka hawa ndio wale elfu moja waliosema watamroga mtu yeyote atakayetaka kushindana na Magufuli.
Pale nadhani Hakutaka kumaanisha Kuwa Mungu ni yeyeRais Magufuli atoa msamaha wa kihitoria wa wafungwa 5,33!.
Huu ni msamaha mkubwa kabisa kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania tangu tupate uhuru.
Kiukweli rais Magufuli atabarikiwa sana. Hata kama rais Magufuli ana makosa yake madogo madogo ya kibinaadamu,
Ila alipomalizia ameharibu kusema msamaha huu umetolewa na Mungu ambapo sasa connotation yeye ni mungu!.
P
Huyu Lipumba Kuna wakati ana akili sana
Azam (UTV)TBC shida
Maridhiano na upendo awaambie wachaga wenzio ambao walikuwa wakiona makabila mengine Ngedere kauli hiyo akaitoe kilimanjaroMbowe, aomba maridhiano na upendo
Mangula nayeye amezingua
Kama alisema anatamaki kuwa kiongozi wa malaika ni connotation take ni UMUNGU nauhitaji.Rais Magufuli atoa msamaha wa kihitoria wa wafungwa 5,33!.