09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

09 Dec, 2019: Maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Na wale mashehe waliokuwa wanateswa uko dar nao kuachiwa sio ama
 
Rais anasema Rais Shein awasalimu wana Mwanza anasahau kuwa kuna mamilioni ya watanzania wanafuatilia hizo sherehe
 
Bila picha ni vigumu kujua uyasemayo
 
Nimependa speech ya Mzee Sumaye...Wengi walidhani angeongea kwakujipendekeza lakini kaongea poa sana hata.
 
“Baadhi yenu mtakumbuka miezi michache iliyopita nilitembelea baadhi ya magereza ikiwemo gereza ma Butimba ambapo nilishuhudia kuwepo kwa mlundikano mkubwa wa wafungwa na kwa taarifa niliyopewa hali kama hiyo haiku kwenye gereza hilo tu bali ni kwa magereza yote nchini na mpaka leo tuna wafungwa 17547 na mahabusu 18256 hivyo kwa pamoja wanakuwa 35803 hii ni idadi kubwa,” – JPM

79674429_1231871273671890_6446276046168784896_n.jpg
 
Wasije mtaani wakaanza kuvamia vibanda vya m-pesa

USSR
 
"Siwapongezi, ila nakupongezeni" Ally Hassan Mwinyi
 
Kumbe wewe Mkuu M-mbabe hujajua kuwa awamu hii, we don't entertain ujinga huo wa EU, US na UNDP kutuingilia kwenye mambo yetu ya ndani!.

Nikuibie siri, tayari UNDP ameomba apewe bajeti ya uchaguzi Mkuu wa 2020 ili a mobilize funds, jamaa wame mute!. Kikawaida no objection ilitakiwa ipatikane 12 month's prior!. Tumewagomea hatutaki kusaidiwa na fedha masharti zao!. Watu tumenunua midege kwa cash, tutashindwaje kuendesha uchaguzi wetu?. Tena kwa Uchanguzi wa 2020 ili ufanyike exactly kama ule wa serikali za mitaa, hatutaki kabisa waangalizi wa nje. Hii ndio demokrasia yetu na huu ndio uchaguzi wetu.
P
serekali hii kweli imetu brainwash hadi wasomi hatuko rational anymore!
 
Mbowe kapewa kipaza asalimie watu kidogo.Nimependa kaongea ki hekma mno.
 
Back
Top Bottom