0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .

Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya

No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Naibu_Katibu_Mkuu_Chadema_Salum_Mwalim_leo_Julai_9,_2021_amezin...jpg
 
Nani atachagua Chadema Pemba?

Ni kama utegemee CUF ichaguliwe Moshi.
Wapemba awawezi chagua chama cha wakristo.
 
Wazanzibar hawajawahi kukubali chama toka bara...hiyo ni kauli ya historia.

Huwa wana kawaida ya 'kufunika kombe mwanaharamu apite'.
 
Back
Top Bottom