johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Niko nagonga mbege......kwani wako wangapi na huyo Mwalimu?Nimekuuliza "kuhesabu hujui au ni upumbavu?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko nagonga mbege......kwani wako wangapi na huyo Mwalimu?Nimekuuliza "kuhesabu hujui au ni upumbavu?"
Washenzi wa Taifa ni watoto wa mamachokochoko. Wasikuchoshe.Kwa hiyo ndio tuseme hata kuhesabu hujui au upumbavu ndio umetawala ubongo?
kila siku siyo jumapiliWazanzibar hawajawahi kukubali chama toka bara...hiyo ni kauli ya historia.
Huwa wana kawaida ya 'kufunika kombe mwanaharamu apite'.
Sijamaanisha nyie kuua nasema act tangu seif afariki nayo haisikiki tenaHatukuenda kuua ACT , tumeenda kuimarisha Chadema
Boss anashughulikia mgogoro wa Ethiopia kwanzaSijamaanisha nyie kuua nasema act tangu seif afariki nayo haisikiki tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitano ijayo CHADEMA ndiyo kitakuwa chama Chenye nguvu zaidi Zanzibar.Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
Chezea wazazibar wewe ,ipo siku watu wale watakuja shutuka kumekucha, bado wamejifunika shukaHili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
inatawala zanzibar kwa kushirikiana na ccmSijamaanisha nyie kuua nasema act tangu seif afariki nayo haisikiki tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Off cozMiaka mitano ijayo CHADEMA ndiyo kitakuwa chama Chenye nguvu zaidi Zanzibar.
Timu ya mpira ya Italia ya watu 11 hivi sasa inapongezwa dunia nzima!Watu 11 kama timu ya mpira na huyo mpiga picha ndio refa!
Dalali amenajisi juhudi za Jabari Maalim Seif. Wazanzibar sio wajinga.Miaka mitano ijayo CHADEMA ndiyo kitakuwa chama Chenye nguvu zaidi Zanzibar.
Dalali yupi ?Dalali amenajisi juhudi za Jabari Maalim Seif. Wazanzibar sio wajinga.
Tatizo la cdm upande wa visiwan si mataw isipokua ni muitikio wa wananchi kwenye sanduku la kuraHili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
Nungwi ni eneo la Pemba?Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha salama mbaguzi.Udini,Uzanzibara na Utanganyika ni sumu ya Taifa.Nani atachagua Chadema Pemba?
Ni kama utegemee CUF ichaguliwe Moshi.
Wapemba awawezi chagua chama cha wakristo.
Uyoga- acha uote tu maana wiki ni ndefu unakuwa umenyauka na kupotea- mpaka masika tena.Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya