Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Salum Mwalimu anasali kwa Kwa Mwamposa au kwa kakobe ?Nani atachagua Chadema Pemba?...
Thubutu!
Hatukuenda kuua ACT , tumeenda kuimarisha Chadema
Mikutano ya hadhara ni chokochokoWatu 11 kama timu ya mpira na huyo mpiga picha ndio refa!
Kazi nzuri. Kazi iendeleeHili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
Kwa hiyo ndio tuseme hata kuhesabu hujui au upumbavu ndio umetawala ubongo?Watu 11 kama timu ya mpira na huyo mpiga picha ndio refa!
Usipowachagua wenzako watawachaguaNani atachagua Chadema Pemba?
Ni kama utegemee CUF ichaguliwe Moshi.
Wapemba awawezi chagua chama cha wakristo.
Hahahaaaa...... Kazi kweli kweli!Mikutano ya hadhara ni chokochoko
HahahaaaaKwa hiyo ndio tuseme hata kuhesabu hujui au upumbavu ndio umetawala ubongo?
Washenzi wa Taifa hamuishiwi matusi, udini na ukabila… yaani nyie watoto wa teuzi mnasumbua sana.Nani atachagua Chadema Pemba?
Ni kama utegemee CUF ichaguliwe Moshi.
Wapemba awawezi chagua chama cha wakristo.
Nimekuuliza "kuhesabu hujui au ni upumbavu?"Hahahaaaa........ Mbona umefura manka?!!!
Tukana kichaga ndio nitakuelewa..........hahahaaaa!