ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
CHIVAYO AMEKUFA NAZONilivyoona eti zimetengwa bilioni 700+ nikajus tayari huu ni mpango mkakati wa kupiga hela za walalahki kwa kisingizio cha El Ninyo.
Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! Haijawahi kutokea. Kwao kila kitu ni fursa. Asiyeamini achunguze kwa umakini.
SENTENSI YENYE NGUVU SANA. POST OF THE DAY. BRAVO NAIANDIKIA THREAD UTANISAMEHETangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! Haijawahi kutokea. Kwao kila kitu ni fursa. Asiyeamini achunguze kwa umakini.
Ndivyo walivyoNina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha,
El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee yenyewe yenyewe tumalizie 2/3
Lakini hata isipotokea angalau tumepata chochote.
Mara nyingi huko nyuma watabiri wa Hali ya hewa wa Tanzania wamekuwa kama wazee wa kubeti, SASa sijui wanatumia teknology gani, ila aloo El nino umeleta neema Kwa baadhi ya watu
Yaani anayekuibia siku zote bado tu unahitaji upate taarifa ya anavokuibiaga?Mnajuaje hela zimepigwa wakati taarifa za matumizi ya hizo fedha bado hazijatoka?
Nadhani tusubiri CAG afanye ukaguzi mwezi April
Labda kwakuwa JF ni Taasisi, kwahiyo huenda whistleblower wa hiyo taarifa ni mtu wa jikoniYaani anayekuibia siku zote bado tu unahitaji upate taarifa ya anavokuibiaga?
jibu safi sanaYaani anayekuibia siku zote bado tu unahitaji upate taarifa ya anavokuibiaga?
Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha,