1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha,
El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee yenyewe yenyewe tumalizie 2/3
Lakini hata isipotokea angalau tumepata chochote.

Mara nyingi huko nyuma watabiri wa Hali ya hewa wa Tanzania wamekuwa kama wazee wa kubeti, SASa sijui wanatumia teknology gani, ila aloo El nino umeleta neema Kwa baadhi ya watu
 
Attachments

  • 172519.jpg
    172519.jpg
    63.2 KB · Views: 7
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 5
Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha,
El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee yenyewe yenyewe tumalizie 2/3
Lakini hata isipotokea angalau tumepata chochote.

Mara nyingi huko nyuma watabiri wa Hali ya hewa wa Tanzania wamekuwa kama wazee wa kubeti, SASa sijui wanatumia teknology gani, ila aloo El nino umeleta neema Kwa baadhi ya watu
Acha kutufuatilia kwenye madili yetu
 
Ruto pia anasema Toka mwezi wa nane anaambiwa lakini haioni
 
Back
Top Bottom