$1.6B biggest resort in East and Central Africa in Zanzibar

$1.6B biggest resort in East and Central Africa in Zanzibar

Acha siasa bwege wewe huko tuisha toka. Unaanza kusema eti fukwe chafu. You are such a looser ludi kwenye jukwaa la sasa. Infact I will keep on attacking you. Do what you got to do.
Samahani siku nyinginezo ujifunze kuheshimu mawazo ya mtu na ujifunze kupinga hoja na SI kuanza personal attacks tena kwa mtu ambaye usiyemjua ...

Sijailinganisha dar NA zanzbar ila nilichokisema ukiangalia hizo project za fumba estates ni dhahiri utaona fukwe ya zanzbar inavutia lakini za dar ni chafu na huu ni ukweli ambao huwezi kuupinga kwa sababu upo jukwaa la Kenya ..usinilizamishe kuwa mnafki

Kuna project gani dar ya kusafisha fukwe zake !!!!!.....
, kama zipo naomba unijuze MAANA kuna project ya kuboresha water front lakini sijui ilipoishia na miaka mingi imepita

Brother or sis...nipo skyscrapecity forum ambapo project nyingi za nchi huoneshwa..kama kuna project ya kuziboresha fukwe za dar naomba uniarifu maana sikuwahi kuiona
 
Mambo yanaenda vizuri kwenye ile reclaimed land ya AZAM Mr Bakhresa. Sehemu ya parking ya Yatch
Screenshot_2017-07-18-03-03-07.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-37.png
Screenshot_2017-07-18-03-03-56.png
Screenshot_2017-07-18-03-04-10.png
 
This project alone worthy more than three times what has been invested in the much touted LAPSSET project despite the noises we hear from our Northern neighbors.

People r making noises about Tanga while Chongoleni is set aside for Uganda oil terminal plus port expansion n EPZs projects which r at higher gear. Aside serious ecolodges currently U/C in Mafia n Pemba.

Kigamboni is not sleeping either as serious housing n resort projects r at different stages!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Hotel kaifanyia land reclamation baharini. It is first in East Africa and second in Africa as a reclaimed land in the sea. Hapo anajenga the biggest water park in Africa pamoja na michezo ya majini ya boti na anatengeneza parking yakupaki Yatch 30 kwa mbele. Vifaa vya land reclamation nivyake. Wakimaliza hapo anafanya land reclamation nyingine for a skyscraper. Expert wa hiyo kazi 98% ni Tanzanians. Tanzania tunajenga nchi. Pia hiyo hotel itakuwa na flyover yakuja direct na gari hadi reception. AZAM ni noma sanaView attachment 544730 View attachment 544739 View attachment 544741 View attachment 544730
I am totally speechless like Nyang'aus wanavyoduwaa kwenye hii thread, kiukweli sikujua kama wameenda this far Dah ebwana hizi projects zikiisha na nyingine mikoani nafikiri SA now tunaweza kuwatunishia kifua sababu this gonna be only in Tanzania si mchezo kiukweli. Big up kwa all developers walioiweka Tanzania to this peak.
 
This project alone worthy more than three times what has been invested in the much touted LAPSSET project despite the noises we hear from our Northern neighbors.

People r making noises about Tanga while Chongoleni for Uganda oil terminal n EPZs r at higher gear. Aside serious ecolodges currently U/C in Mafia n Pemba.

Kigamboni is not sleeping either serious housing n resort projects r at different stages!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inawauma sababu Tanzania uwekezaji unasambazwa kila kona ya taifa tena with the simultaneously massive equal amounts tofauti na Kenya, serikali ya Kenya na investors wote wamejikita Nairobi ukitoka nje kidogo ya Nairobi hakuna kitu chochote kinachoendelea lakini Tanzania ukiangalia almost each region receives major projects equilibrium
 
mji wa kigamboni uliota mbawa
 
Tanga na Dar inahusiana nn na hii project? Kwahiyo kwavile Tanga na Dar hamna project ya namna hiyo waiache hii? Wacha uchoko wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni comment yangu na nimezihusisha dar na tanga kwa sababu ni coastal cities na ningependa nizione zikiendelea vivyo hivyo ...kufumbata maji kama mto NI ujinga kaka

Lakini sikumbuki kama kuna siku niliyokuquote coz I respect you a lot na sintokuvunjia heshima kwa kuniita choko maana hunijui ila battle za Kenya zisikufanye ujihadhirishe ...

Heshimu mipaka yako tu
 
Acha siasa bwege wewe huko tuisha toka. Unaanza kusema eti fukwe chafu. You are such a looser ludi kwenye jukwaa la sasa. Infact I will keep on attacking you. Do what you got to do.
Attacking z unknown !!!...

Find something useful to do with your life ....
 
Ilikuwa ni comment yangu na nimezihusisha dar na tanga kwa sababu ni coastal cities na ningependa nizione zikiendelea vivyo hivyo ...kufumbata maji kama mto NI ujinga kaka

Lakini sikumbuki kama kuna siku niliyokuquote coz I respect you a lot na sintokuvunjia heshima kwa kuniita choko maana hunijui ila battle za Kenya zisikufanye ujihadhirishe ...

Heshimu mipaka yako tu
Anzisha thread za Tanga na Dar badala ya ku-derail thread hii. Hata binadamu si sawa sembuse miji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anzisha thread za Tanga na Dar badala ya ku-derail thread hii. Hata binadamu si sawa sembuse miji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokifanya ni kutoa comment tu kutokana na nilichokiona kwa fukwe na wala si mji kiujumla hivyo, hakuna hitaji la kuanzisha thread

By the way mimi huwa natoa mawazo yangu kwa sababu hili ni jukwaa huru hivyo, msilazimishe watu kuwa biased kwa milengo ya ku-battle ...
 
Mkuu japo hii nikubwa kuliko ya bakhresa. Bakhresa kasema akiimaliza fumba anaanza kujenga mji wakibiashara wenye skyscrapers kama Dubai na amedai atashilikiana na real estate companies nyingine kuta Dubai. Natiyali wamesha kuja Zanzibari..Lengo amesema nikuifanya Zanzibar kama Dubai Africa. Pia akimalizia hotel anafanya ujenzi wakisiwa nakushusha skyscraper hapo Zanzibar. Ni noma sana. Hii fumba kasema anaongezea contractors wengine wa tatu ilimradi umalizike baraka. Unaambiwa watu wamesha anza kujitokeza wakitaka kuzinunua nyumba. View attachment 544714View attachment 544715 View attachment 544716View attachment 544717 View attachment 544718View attachment 544719 View attachment 544720View attachment 544721 View attachment 544722
Dah Zanzibar kama naiona vile inavyokuwa sema tu unyonyaji wa sisi wa Tanganyika ndo tunaifanya isifike mbali
 
Tanga na Dar inahusiana nn na hii project? Kwahiyo kwavile Tanga na Dar hamna project ya namna hiyo waiache hii? Wacha uchoko wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona mna muattack bure tu, kwa mtazamo wangu yeye hajakosoa huo mradi ila alichokuwa anakitamani ni kuona na fukwe za Tanga na Dar zikiwa na project zenye mfano kama huo wa Zanzibar
 
Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa

Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa
Povu povu...pole sana buda...ila punguza hasira.
 
I think these people havent heard about lapsset yet .....anyway until its on the ground hii ni bagamoyo nyingine

Post sent using JamiiForums mobile app
chini ya utawala wa chuma JPM hakuna upuuzi wa "white elephant project".

hiyo "wekerea" kwa kichwa yako na upigilie kwa msumari.

kila kitu kinaenda kwa kasi na viwango.
LDC baby [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi naona umebakiza ngonjera! Nahisi hii comment yako huwa unaicopy&paste

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom