Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Tangu lini unona nyang'au anataka mambo kama hayo yatokee kwa jiraniMimi naona mna muattack bure tu, kwa mtazamo wangu yeye hajakosoa huo mradi ila alichokuwa anakitamani ni kuona na fukwe za Tanga na Dar zikiwa na project zenye mfano kama huo wa Zanzibar
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.