$1.6B biggest resort in East and Central Africa in Zanzibar

$1.6B biggest resort in East and Central Africa in Zanzibar

Mimi naona mna muattack bure tu, kwa mtazamo wangu yeye hajakosoa huo mradi ila alichokuwa anakitamani ni kuona na fukwe za Tanga na Dar zikiwa na project zenye mfano kama huo wa Zanzibar
Tangu lini unona nyang'au anataka mambo kama hayo yatokee kwa jirani

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Huyu contractor hajui kwamba Z'bar mchanga umekwisha? Hiyo cost inaweza ikaongezeka sana coz they may have to ship the sand...
 
Some tanzanians mmejaa utoto na ignorance....nimeona mmoja wenu hapo juu amecoment eti huu mradi unaipiga LAPSSET, like really?? Nkaona tu ninyamaze.....huu ushabiki wa kijinga muache kama mnataka kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
unyamaze vip wakati tayari ushatoa povu....buda nini mbaya?.
 
Some tanzanians mmejaa utoto na ignorance....nimeona mmoja wenu hapo juu amecoment eti huu mradi unaipiga LAPSSET, like really?? Nkaona tu ninyamaze.....huu ushabiki wa kijinga muache kama mnataka kuendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuweke tu sawa, usije kuchanganya tambua hapo ameweka two different massive projects kuna hiyo ya kwanza na hii ya baresa sasa usijekuona zinafanana ukazani ni mradi mmoja, roughly hii miradi yote mpaka ikamilike inacost kama 6 US billions
 
safi sana.
LAPSSET project costs 30B Usd
 
Serikali ya sisiemu na magufuli pamoja na mkuu wa mkoa wa dar es salaam awafanyi chochote kuusu fukwe zetu akuna Sera ya kuboresha fukwe dar ilitakiwa fukwe zisogezwe ndani ya bahari kwa mita kama 100 hivi na kumwagwa mchanga mweupe pia fukwe zisafishwe nje na ndani ya maji kisayansi MAGUFULI VIPI ?? USAFI WA FUKWE NA MADHARI ZAKE AU NDO MWISHO WA KUFIKILI AMUONI UMUHIMU WA FUKWE DAR
 
Hivi unajua gharama yake au una ropoka. Halo kakipande ka Bakhresa unakoona katumia Billion 30 anavyodai. Sasa Dar unaijua. Majengo kama Dubai
Serikali ya sisiemu na magufuli pamoja na mkuu wa mkoa wa dar es salaam awafanyi chochote kuusu fukwe zetu akuna Sera ya kuboresha fukwe dar ilitakiwa fukwe zisogezwe ndani ya bahari kwa mita kama 100 hivi na kumwagwa mchanga mweupe pia fukwe zisafishwe nje na ndani ya maji kisayansi MAGUFULI VIPI ?? USAFI WA FUKWE NA MADHARI ZAKE AU NDO MWISHO WA KUFIKILI AMUONI UMUHIMU WA FUKWE DAR
 
Nilichokifanya ni kutoa comment tu kutokana na nilichokiona kwa fukwe na wala si mji kiujumla hivyo, hakuna hitaji la kuanzisha thread

By the way mimi huwa natoa mawazo yangu kwa sababu hili ni jukwaa huru hivyo, msilazimishe watu kuwa biased kwa milengo ya ku-battle ...
Inawezekana upo so uninformed,
Uwekezaji unaofanyika Tanga na Dar ni mkubwa zaidi ya huu wa zenji
By the way, comments zako ni irrelevant.
 
Inawezekana upo so uninformed,
Uwekezaji unaofanyika Tanga na Dar ni mkubwa zaidi ya huu wa zenji
By the way, comments zako ni irrelevant.
Maybe upo right kuwa nipo less informed bhasi niambie hiyo miradi ya kuziendeleza fukwe za bahari za dar na Tanga ambazo Mimi kiukweli sijawahi kuzisikia..
 
Hii itaifanya Zanzibar kwenda jino kwa jino na maeneo mashuhuri ya utalii kama Seychelles. Safi sana.
 
safi sana.
LAPSSET project costs 30B Usd
Where is???? 😀😀😀😀😀 Maana huo mradi sioni any updates nafkiri ushageuka kua white elephant maana miradi mingi ya kenya hua haichelewi kugeuka
 
Tatizo nyie ni wale wale, hata mrushe rushe mapicha kwenye mitandao mnabaki pale pale maana hata yale mliyo nayo bado hamjatumia.
Inawezekana mkaingizwa kwenye kumbukumbu za UNESCO kama nchi yenye utajiri mwingi lakini maskini wa kutupwa

Mna mlima mrefu Africa, mti mrefu Africa, nimeona sehemu kuwa mna jiwe kubwa Africa, mbuga za wanyama zaidi ya nchi zote Africa, madini ya kila aina, simba anayenyonyesha chui, gesi lakini bado ni maskini wakutupwa
Kwa hiyo?
 
Another futuristic project to hoodwink Tz zombies as usual.
 
Hahah hoodwink while Marriott n Thai group Antara (both first in the region) have already penned down the agreement while others r coming.

I know it pains u but the fact is Zanzibar Island has more hotel n resort rooms than Nairobi, Dar, Mombasa n all other cities in the region even now n posed to even grow more upon completion of these two projects.

By then around eight 4 to 5 star hotels r to be built in addition to holidays apartments plus yacht club to park 30 boats (largest in the region), water sport facilities center (while be largest after Kunduchi's Wet n World current largest in the EA), golf resort, under water rooms (2nd in Africa n Tanzania) n an underwater nightclub (1st in Africa) n airport of its own!

I know mwaswast wishes this to be in Mombasa or somewhere in Kenya! BTW hotels in Tanzania have a tendency to expand!

Think of Hyatt in Dar then Zanzibar then Arusha also Serena also 4 season also Hilton hotel group (Doubletree Hotel is in 2 of these 3 places) n recently 4 point by Sheraton already in Arusha n Dar while Zanzibar next [emoji23] [emoji115]

Unfortunately, more painful news for desperate Kenyan haters in here. Sorry..
 
Back
Top Bottom