- Thread starter
-
- #41
Acha siasa bwege wewe huko tuisha toka. Unaanza kusema eti fukwe chafu. You are such a looser ludi kwenye jukwaa la sasa. Infact I will keep on attacking you. Do what you got to do.
Samahani siku nyinginezo ujifunze kuheshimu mawazo ya mtu na ujifunze kupinga hoja na SI kuanza personal attacks tena kwa mtu ambaye usiyemjua ...
Sijailinganisha dar NA zanzbar ila nilichokisema ukiangalia hizo project za fumba estates ni dhahiri utaona fukwe ya zanzbar inavutia lakini za dar ni chafu na huu ni ukweli ambao huwezi kuupinga kwa sababu upo jukwaa la Kenya ..usinilizamishe kuwa mnafki
Kuna project gani dar ya kusafisha fukwe zake !!!!!.....
, kama zipo naomba unijuze MAANA kuna project ya kuboresha water front lakini sijui ilipoishia na miaka mingi imepita
Brother or sis...nipo skyscrapecity forum ambapo project nyingi za nchi huoneshwa..kama kuna project ya kuziboresha fukwe za dar naomba uniarifu maana sikuwahi kuiona