1 USD ni Tshs 2,304 leo tumeishiwa pumzi!

1 USD ni Tshs 2,304 leo tumeishiwa pumzi!

Yeah labda wabadili sasa lakini mpaka December ilikuwa hiyo
Embu fafanua vizuri, kama nna USD skrill/paypal nikaituma kwenye account yangu ya NMB ya Tsh, ina maana rate yake ya kubadili itakua ni hizi za benk au hiyo 2500?

Jr[emoji769]
 
Mbona Zitto kachelewa sana kutujuza juu ya kushuka kwa shilingi au ndio kaishiwa pumzi
 
Ni wazi jiwe anatupeleka machinjioni na hapo bado mabeberu hawajatupiga vikwazo
 
MBONA YOTE HAYO YANATUHUSU HALAFU JAMAA WAKIAMBIWA WANAANZA "KUBANA PUA?"
Nomaaa
Mimi navyojua Central Banks zina jukumu la kuregulate Currencies zao
Sasa Hii yetu Sijui wanakwama Wapi

Hii rate itafika Mbali Wazee
Wenzetu kenya, Dollar moja Sawa na 101.** Ksh Yao
 
Nomaaa
Mimi navyojua Central Banks zina jukumu la kuregulate Currencies zao
Sasa Hii yetu Sijui wanakwama Wapi

Hii rate itafika Mbali Wazee
Wenzetu kenya, Dollar moja Sawa na 101.** Ksh Yao
Yetu macho na masikio.Maana ukitumia mdomo unapigwa "uhujumu uchumi".
 
Mtiririko unaonyesha, kila baada ya miaka 10 shilingi inashuka thamani kwa asilimia 100. Kwahiyo tutegemee itashuka tu mpaka 2,400 mwisho wa mwaka huu...na mpaka 2025 itakuwa 3,200 kwa mujibu wa historia ya miaka ya nyuma.
 
Alizuia bureau change binafsi ili shilingi iimarike kulikoni tena imeshuka hali ni mabenk tu ndo yameruhusiwa.Waswahili usema huwezi ukumbatia moto
 
Back
Top Bottom