1 USD ni Tshs 2,304 leo tumeishiwa pumzi!

1 USD ni Tshs 2,304 leo tumeishiwa pumzi!

Mtiririko unaonyesha, kila baada ya miaka 10 shilingi inashuka thamani kwa asilimia 100. Kwahiyo tutegemee itashuka tu mpaka 2,400 mwisho wa mwaka huu...na mpaka 2025 itakuwa 3,200 kwa mujibu wa historia ya miaka ya nyuma.
Imeshuka hasa baada ya uhuru
 
IMG_4802.JPG


Aisee
 
Wadau,

Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.

Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?

Nini shida?
Ni 2301.7 ...mbona huo wastani umecheza hivyo toka November... Hubadilishi hela nn
 
Wadau,

Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.

Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?

Nini shida?

Ni donor country. Tunataka kupeleka bidhaa zetu nje bei rahisi na kununua kutoka kwao kwa bei kubwa. Mabeberu watatujuaje kama sisi ni matajiri???? Tehe tehe tehe !!!!!
 
Back
Top Bottom