Mshanaa [emoji15]
Embu fafanua vizuri, kama nna USD skrill/paypal nikaituma kwenye account yangu ya NMB ya Tsh, ina maana rate yake ya kubadili itakua ni hizi za benk au hiyo 2500?Exchange rate ya mtandaoni ni 2500 fixed
Jr[emoji769]
Embu fafanua vizuri, kama nna USD skrill/paypal nikaituma kwenye account yangu ya NMB ya Tsh, ina maana rate yake ya kubadili itakua ni hizi za benk au hiyo 2500?
Mikopo chefuchefu
dodge
MBONA YOTE HAYO YANATUHUSU HALAFU JAMAA WAKIAMBIWA WANAANZA "KUBANA PUA?"
Na buying mkuu leo ngapi nmb?Nmb leo ni selling shs 2,314
NomaaaMBONA YOTE HAYO YANATUHUSU HALAFU JAMAA WAKIAMBIWA WANAANZA "KUBANA PUA?"
Lini ilikuwa 2230?Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Karibia itafika 30002,305.94 TZS sasa (mbona hivi!)
Yetu macho na masikio.Maana ukitumia mdomo unapigwa "uhujumu uchumi".Nomaaa
Mimi navyojua Central Banks zina jukumu la kuregulate Currencies zao
Sasa Hii yetu Sijui wanakwama Wapi
Hii rate itafika Mbali Wazee
Wenzetu kenya, Dollar moja Sawa na 101.** Ksh Yao