Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Imeshuka hasa baada ya uhuruMtiririko unaonyesha, kila baada ya miaka 10 shilingi inashuka thamani kwa asilimia 100. Kwahiyo tutegemee itashuka tu mpaka 2,400 mwisho wa mwaka huu...na mpaka 2025 itakuwa 3,200 kwa mujibu wa historia ya miaka ya nyuma.
Lzm iwe dhaifu sababu tunaexport Pesa nyingi kuliko kuimport pesaPesa yetu ni dhaifu sana pesa yetu imeizid udhamani pesa ya uganda,zimbabwe,venezuela,taiwan na iran tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ID yako inataka kunitoa chozi!
Ni 2301.7 ...mbona huo wastani umecheza hivyo toka November... Hubadilishi hela nnWadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Wadau,
Wakati mambo yakiendelea naona shillingi yetu inakata pumzi polepole ilikuwa 2,230 na sasa 2,304.
Na bei ya kuuzia itakuwa 2,400?
Nini shida?
Dah kwaiyo wanazuia Karib 200/250 nzima ..kama utafnya exchange ya 100$ itabid uweke 250k halafu 25k yote wanazuia...dah! Kwa nini wa nafanya ivyo mkuu?Hapana ndio exchange rate ya mtandaoni ukifanya manunuzi kuanzia EBay mpaka Ali express
Jr[emoji769]
Unataka tufe kabisa? Hapa atujapigwa vikwazo tuko ivi...Ni wazi jiwe anatupeleka machinjioni na hapo bado mabeberu hawajatupiga vikwazo
Anataka kuexport koroshow kwa bombadiaLabda jiwe anataka kufanya exportation so anashusha shilling kwa kasi ili kuvutia wanunuzi wa kimataifa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hii Tz yote yanawezekana..Anataka kuexport koroshow kwa bombadia
Kuna mmoja huku duniani alikua na jina kama hili..ni miaka 13 sasa sijawah muona tena!Kwanini?[emoji15]