1 Zambian Kwacha equals 142.40 Tanzanian Shilling

1 Zambian Kwacha equals 142.40 Tanzanian Shilling

Hoja yako naijua unataka kuonyesha kuwa pesa yao ina nguvu kuliko yetu kwa hiyo wao wako juu

Haya fafanua kwa nini hela ya Zambia iko juu kuliko Hela ya japani ya Yen

Yen 1 ya japan no sawa na centi 12 za kwacha ya Zambia.Hela ya Zambia iko juu kuliko yen ya Japan
 
Hivi ni kweli.
1 Zambian Kwacha equals
142.40 Tanzanian Shilling
Screenshot_20220731-103548_Samsung Internet.jpg

Watanzania wenzangu ni muhimu mno masuala haya ya kiuchumi tukaongelea head on,unafiki wa kivyama hautusaidii kitu hapa,BOT piece mandates mpya,including to protect our shilling (elewa bei ya diesel, petrol etc inapangwa kutokana na sababu nyingi including uimara wa shilling yako)
 
Wana export sana copper na wanapata pesa nyingi za kigeni Kwa hiyo Moja ya vigezo vya kufanyia hesabu za uimara wa sarafu ni pamoja na uwezo wa nchi kuagiza nje bidhaa na kulipa Kwa sarafu za nje. Ukitaka kujua Sisi tuko vipi kimaisha gugo per Capita income ya wabongo na wazambia
 
Watanzania wenzangu ni muhimu mno masuala haya ya kiuchumi tukaongelea head on,unafiki wa kivyama hautusaidii kitu hapa,BOT piece mandates mpya,including to protect our shilling (elewa bei ya diesel, petrol etc inapangwa kutokana na sababu nyingi including uimara wa shilling yako)
Kuna shida gani kwenye uchumi wewe unavyodhani ikiwa hivyo?

Maana isijekuwa unahemka na hujui unahemka kwa lipi hasa?
 
Hoja yako naijua unataka kuonyesha kuwa pesa yao ina nguvu kuliko yetu kwa hiyo wao wako juu

Haya fafanua kwa nini hela ya Zambia iko juu kuliko Hela ya japani ya Yen

Yen 1 ya japan no sawa na centi 12 za kwacha ya Zambia.Hela ya Zambia iko juu kuliko yen ya Japan
Tupe elimu kidogo mkuu YEHODAYA utusaidie wengi hapa. Mm pia nilidhani kwakuwa hela yao iko juu kuliko yetu Basi uchumi wa Zambia uko vizuri zaidi
 
Kuna shida gani kwenye uchumi wewe unavyodhani ikiwa hivyo?

Maana isijekuwa unahemka na hujui unahemka kwa lipi hasa?
Sina cha kuhemka hapa mkuu,tujadili hoja iliyoletwa hapa, uthamani wa fedha yetu unaniathiri mimi binafsi, siwezi nikawa navuka mpaka eti kwenda to fill ⛽ bcs next door it's cheaper, na reason behind their currency value ipo better than my shilling
 
Fanyia biashara huko huko Zambia.
 
Zambia sukari 1kg 20k = 2840sh

Zambia mafuta ya kupikia 2ltr 100k = 14200sh

Zambia mche wa Sabuni 28k = 3976sh

Zambia petrol 1ltr 27k = 3834

Zambia diesel 1ltr 29k = 4118sh

Haya tuambie huko kwenu hizo bidhaa mnanunua Kwa bei gani.
 
Kuna watu husema eti sarafu ya nchi flani ikiwa juu haimaanishi kuwa uchumi wao upo juu.
HAPA SIELEWI japo niliwahi kueleweshwa.

Kwa wale wanaoishi mipakani hali hii inawaumiza mno.Mfano nina jamaa nawafahamu wameamua kupotelea UG kisa kila wakiwaza kuchenji M yao afu eti wapewe 600k wakiwa TZ wanona ni mzigo kuanza kuiweka kwenye mzunguko!

Mimi naamini wanaoishi ktk nchi zenye pesa isiyo na thamani kubwa wananyanyasika;mathalani,
UG 1kg ya nyama ni sh.14,000/- hii kwetu ni sawa na sh.10,000 au 9000.
Lakini kwetu Tz tena jirani nao 1kg ni sh.7000/-.Hali ipo hvo hta kwa bidhaa nyinginezo je,
wataalamino mnasemaje??
 
Back
Top Bottom