MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Zambia waliondo sifuri tatu kwenye kwacha. Kwacha 1000 sasa hivi ni sawa na kwacha 1. Mfano na sisi tuamue kupunguza sifuri tatu na buku tukaita tsh 1. Mwekundu tukamuita tsh 10.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ni kigezo gani kimetumika ktk kuweka hiyo rating ? Tusaidie akina siyePesa ya Kenya ipo juu kuishinda pesa ya China na Japani!! lakini tukija kwenye uchumi ni kinyume chake Kenya ipo chimoni
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Sasa nn kinatushinda ikiwa ni kitu rahisi hivyo? Tuondoe hata sifuri 5 halafu buku hiyo hiyo ambayo tutakuwa tunaiita sent inunu 100..Zambia waliondo sifuri tatu kwenye kwacha. Kwacha 1000 sasa hivi ni sawa na kwacha 1. Mfano na sisi tuamue kupunguza sifuri tatu na buku tukaita tsh 1. Mwekundu tukamuita tsh 10.
Kipindi hi ho Kuna dogo wa Chuga alikuja kwacha 46000 tukaenda kuchenji,dah,tulipata 6000 tsh.Zambia walishafanya denomination ya currency yao. Kama mtakumbuka miaka ya nyuma kwacha ya Zambia ilikuwa weak vibaya mno against TZS. Ni sawa na Ghana cedis.
NdioHivi JF siku hizi mbona watu wanatoleana povu Sana? Ni issue ya maisha kuwa magumu au?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ndiyo,kwani unanipangia cha kumjibu mtu.usirudie tena kuuliza maswali ya kipuuzi kama haya!Hivi JF siku hizi mbona watu wanatoleana povu Sana? Ni issue ya maisha kuwa magumu au?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hii kitu ndio uwa inawachanganya hata wakenya wakijinasibu pesa yao ina thamani kubwa kuizidi ya so wana maisha kuliko sisi,huku wakiwa hawajui pesa yao ina thamani kuliko yen,iwapo thamani ya pesa ingekua inaenda life la huku ground wako wangekua na good time kuliko wajapengaHoja yako naijua unataka kuonyesha kuwa pesa yao ina nguvu kuliko yetu kwa hiyo wao wako juu
Haya fafanua kwa nini hela ya Zambia iko juu kuliko Hela ya japani ya Yen
Yen 1 ya japan no sawa na centi 12 za kwacha ya Zambia.Hela ya Zambia iko juu kuliko yen ya Japan
Pesa ya Kenya ipo juu kuishinda pesa ya China na Japani!! lakini tukija kwenye uchumi ni kinyume chake Kenya ipo chimoni
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hela ya zambia ilipunguzwa kwa sababu ya mfumuko wa bei .
Yaani Zmb 1 huwa ni elfu moja ikapunguziwa sifuri tatu nyuma.
tatizo wengi hatuwezi kuwa wachumi na hamuwezi elewa.
Pesa ya tz ipo juu ya kwacha.
Kuna watu husema eti sarafu ya nchi flani ikiwa juu haimaanishi kuwa uchumi wao upo juu.
HAPA SIELEWI japo niliwahi kueleweshwa.
Kwa wale wanaoishi mipakani hali hii inawaumiza mno.Mfano nina jamaa nawafahamu wameamua kupotelea UG kisa kila wakiwaza kuchenji M yao afu eti wapewe 600k wakiwa TZ wanona ni mzigo kuanza kuiweka kwenye mzunguko!
Mimi naamini wanaoishi ktk nchi zenye pesa isiyo na thamani kubwa wananyanyasika;mathalani,
UG 1kg ya nyama ni sh.14,000/- hii kwetu ni sawa na sh.10,000 au 9000.
Lakini kwetu Tz tena jirani nao 1kg ni sh.7000/-.Hali ipo hvo hta kwa bidhaa nyinginezo je,
wataalamino mnasemaje??
Zambia waliondo sifuri tatu kwenye kwacha. Kwacha 1000 sasa hivi ni sawa na kwacha 1. Mfano na sisi tuamue kupunguza sifuri tatu na buku tukaita tsh 1. Mwekundu tukamuita tsh 10.
Walifanya Redenomination ili kuongeza thamani na kupunguza mfumko wa bei
1000 kwacha ikafanywa kuwa 1kwacha.Kuna kipindi rais wa Tanzania alitoa 5m za Tsh kwa Zambia watu wakashangaa mbona ndogo lakini kiuhalisia ni nyingi ukiziweka kwenye kwacha.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Naam thamani ya Pesa matters ukiwa mnunuzi, ingawa huenda ikawa tatizo kama ni muuzaji sababu bidhaa zako zitaonekana ni za bei ya juu (hence China alishashutumiwa na Marekani kwa mchezo wa ku-devalue currency yake against the dollar ili watu wanunue kwake)Hii kitu ndio uwa inawachanganya hata wakenya wakijinasibu pesa yao ina thamani kubwa kuizidi ya so wana maisha kuliko sisi,huku wakiwa hawajui pesa yao ina thamani kuliko yen,iwapo thamani ya pesa ingekua inaenda life la huku ground wako wangekua na good time kuliko wajapenga