Hii kitu ndio uwa inawachanganya hata wakenya wakijinasibu pesa yao ina thamani kubwa kuizidi ya so wana maisha kuliko sisi,huku wakiwa hawajui pesa yao ina thamani kuliko yen,iwapo thamani ya pesa ingekua inaenda life la huku ground wako wangekua na good time kuliko wajapenga
Nikweli but walicho fanya wamepunguza zero tatu (000) mbeleHivi ni kweli.
1 Zambian Kwacha equals
142.40 Tanzanian Shilling
Siku utakayotambua kuwa 10,0000 ni tofauti na 1,4000,000 ndio uje tujadiliane hapaSasa hio 10,000 ZWK si sawa na 1.4m Tshs unaweza fanya hizo road trips...
Sidhani kama unanitendea haki kunibambika swali wakati huo ktk maelezo yangu kuna maswali yakujibu.Uchumi kuwa juu ina maana gani? Unamaanisha nini unaposema uchumi upo juu au upo chini?
Hapo kuhusu Ksh kuwa juu zaidi ya pesa ya china (Yuan) si kweli.Pesa ya Kenya ipo juu kuishinda pesa ya China na Japani!! lakini tukija kwenye uchumi ni kinyume chake Kenya ipo chimoni
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye sukarii umedanganya,tunduma tunategemea sukari ya zambia ambayo ni bei nafuu kuliko ya tz,sijui wanajumlishaje ila rejareja tunauziwa 1kg kwa 2500Zambia sukari 1kg 20k = 2840sh
Zambia mafuta ya kupikia 2ltr 100k = 14200sh
Zambia mche wa Sabuni 28k = 3976sh
Zambia petrol 1ltr 27k = 3834
Zambia diesel 1ltr 29k = 4118sh
Haya tuambie huko kwenu hizo bidhaa mnanunua Kwa bei gani.
Hapana,10k ndio sawa na buku kwao,na 100k ndio sawa na elfu10Zambia waliondo sifuri tatu kwenye kwacha. Kwacha 1000 sasa hivi ni sawa na kwacha 1. Mfano na sisi tuamue kupunguza sifuri tatu na buku tukaita tsh 1. Mwekundu tukamuita tsh 10.
Hiyo sukari unayonunua 2500 ni ya Malawi sio ya Zambia, Sukari ya Zambia bei ya jumla kwa katoni 390k haya piga hesabu 390x144= 56160Hapo kwenye sukarii umedanganya,tunduma tunategemea sukari ya zambia ambayo ni bei nafuu kuliko ya tz,sijui wanajumlishaje ila rejareja tunauziwa 1kg kwa 2500