Joyce laurent shija
New Member
- May 25, 2024
- 4
- 2
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka kuwa majambazi, warawiti,mashoga,nk kwasababu ya ugumu wa maisha nakukosa feddha kwaajili yakuendelea na masomo kwasababu siyo wote wanaofeli mitihani hawana akili hapana wengi wao wanavipaji na ujuzi mkubwa sema nhi yetu imeshindwa kutoa nafasi ya vipaji mbalimbali kutokea madarasa ya chini kumgundua mtoto anakipaji gani astiki mpaka chuo kikuu
Mapendekezo yangu fedha zinazotolewa almashauri ili ziwainue vijana kiuchumi ni bora zijenge vyuo vya ufundi ili kupata wataalamu wengi wa teknolojia kuliko kuwapa vijana ambao hawana uwezo wakuendesha biashara eidha kuwepo na vigezo na masharti magumu kwasababu wengi wao wanaishia njiani bila mafanikio nafedha zinaishia kupotea bora wawekeze katika utoaji elimu

Upvote
1