10 Most Underrated TV Shows

10 Most Underrated TV Shows

Mngoni asiyepiga gambe

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
151
Reaction score
318
Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your thought.

1. THE STRAIN
mapambano dhidi ya kirusi hatari kinachosababisha hali ya uzombie mtiririko wa story wa kuvutia tofaut na horror movies nyingi.

2. THE SPY
Katika zama za vita baridi baina ya israel na mataifa ya kiarabu Syria ikiwa mojawapo jasusi Eli Cohen anajipenyeza ndan ya serikali ya Syria na kupata wadhifa mkubwa serikalin na kadri muda unavyoenda ndivyo inakuwa ngumu kuficha uhalisia wake.

3. BANSHEE
tapeli na jambazi anayeiba id ya askari mkuu wa jimbo la banshee aliyefariki kabla ya kuripoti kazini anajikuta kwenye wakati mgumu kuficha uhalisia wake katika majukumu yake mapya ya kusimamia sheria.

4. KINGDOM
korean historic tv shows inaelezea kifo cha mfalme ambacho kinajaribu kufichwa na hatimae jitihada zinapelekea kutumia dawa za mitishamba kumfufua mfalme ambae hatimae anarud katika hali tofauti na ya kibinadam.

5. PERSON OF INTEREST
Ugunduzi wa kifaa cha kisayansi cha kugundua matukio na wahusika wa uhalifu na wagunduzi kujipa jukumu la kuwa heroes kuokoa innocent people walioko hatarin.

6. COBRA KAI
teenage drama uhusika wa sanaa za mapigano na athari zake kwenye uhalisia wa maisha ya vijana wadogo na mapenzi yakihusika ndani yake.

7. NEVER HAVE I EVER?
Comedy teenage series inayobase kwenye high school dramas

8. FARZI
indian series inayohusu vijana wawili yatima waliolelewa na babu yao wanalazimika kujiingisha katika utengenezaj wa pesa bandia kujikwamua na kunusuru kiwanda cha babu yao ila kadri utamu wa pesa haramu unavyowanogea ndipo maisha na taswira yao kwa jamii inavyokuwa "at stake".

9. VACATION
baba na mume wa watoto wawili anapata wazo la kuipeleka familia yake vacation ili kuwa impress wazo linaloibua changamoto nyingi safarini na kijikuta wakijutia tofaut na malengo, a typical comedy movie.

10. ALLADIN kwa wapenzi wa typical comedy movies this is your thing.

N:B HONOURABLE MENTIONS
FAUDA , IF LOVING U IS WRONG , IN LOVE WITH CHURCH GIRL, THIN LINE BETWEEN LOVE AND HATE
 
Kuna watu watakuja kusema umri wako hauzidi miaka 24 na unakula kwa shikamoo, naomba uwapuuze mkuu.
 
INNOCENT DEFENDANT

Korea drama series inamuhusu jamaa anajikuta yupo jela na hana kumbukukumbu yoyote iliyomfanya awe uko but inadaiwa aliua familia yake je ni kweli alifanya hivyo na kama sio yeye nani kafanya?
Ukija upande wa pili kuna mapacha wawili wanafanana sana wenye sifa tofauti mmoja mpole, mwenye akili mwingine ni mkorofi sasa jamaa ana wivu na pacha wake kutokana na kupewa majukumu ya kusisimamia familia kibiashara so anaamua kumuua na anachukua identity ya pacha wake kwa kuuvaa ile sifa alizonazo je jamaa ataweza kuimili hiyo nafasi?

PLAY ROLE

Hii ni movie ya kizungu jamaa amebahatika kuwa na ndoa na mke wake kwa muda mrefu na wameweza kupata mtoto but kuihalisia pamoja na jamaa kuishi muda mrefu na mke wake ameshindwa kujua identity ya mke wake, ni mtu wa aina gani? Nini kipo nyuma ya hiyo siri ni ipi?

ESCAPE PLAN

Ni movie ya Rambo inahusiana na jamaa amekuwa akifanya kazi ya kuingia jela na kutoroka ili kujua maudhaifu wa magereza sasa anajikuta anasalitiwa na boss wake wakitengo anapelekwa kwenye gereza ambalo hakupangwa mtiti anaoenda kukutana uko sio poa
Msolo Mwananchi B
 
Kwenye hiyo list nimeangalia Banshee na Spy, ziko vizuri sana.

Pia kuna hii inaitwa Traveler ilikuwa cancelled kabla hata season 1 haijaisha.
 
Hapo,the strain na banshee ni movie series kali sanaa.
 
amran k
Ngoja nianze na innocent defendant kwanza
 
Nimekubali unaipenda sana hii series ndugu yangu..ni zaidi ya mara 10 unaisifia ukafanya hadi niitafute na mimi[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye hiyo list nimeangalia Banshee na Spy, ziko vizuri sana.

Pia kuna hii inaitwa Traveler ilikuwa cancelled kabla hata season 1 haijaisha.
Hii traveller ilikuwa series moja kali Sana.

Si ndio ile jamaa wameingia museum, wanatoka tu inalipuliwa halafu ghafla anatangazwa kuwa ndio suspect wa kwanza.

Sasa zile mishe za kuwakwepa Police halafu jamaa ni raia tu wa kawaida ni hatari. Halafu nani kalipua ile museum na kwanini yeye awe suspect namba moja ni balaa.
 
Kuna watu watakuja kusema umri wako hauzidi miaka 24 na unakula kwa shikamoo, naomba uwapuuze mkuu.
Na Kuna wale watakaosema pia anashinda kwenye subure ya dada yake awapuuze nao
 
Back
Top Bottom