Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your thought.
1. THE STRAIN
mapambano dhidi ya kirusi hatari kinachosababisha hali ya uzombie mtiririko wa story wa kuvutia tofaut na horror movies nyingi.
2. THE SPY
Katika zama za vita baridi baina ya israel na mataifa ya kiarabu Syria ikiwa mojawapo jasusi Eli Cohen anajipenyeza ndan ya serikali ya Syria na kupata wadhifa mkubwa serikalin na kadri muda unavyoenda ndivyo inakuwa ngumu kuficha uhalisia wake.
3. BANSHEE
tapeli na jambazi anayeiba id ya askari mkuu wa jimbo la banshee aliyefariki kabla ya kuripoti kazini anajikuta kwenye wakati mgumu kuficha uhalisia wake katika majukumu yake mapya ya kusimamia sheria.
4. KINGDOM
korean historic tv shows inaelezea kifo cha mfalme ambacho kinajaribu kufichwa na hatimae jitihada zinapelekea kutumia dawa za mitishamba kumfufua mfalme ambae hatimae anarud katika hali tofauti na ya kibinadam.
5. PERSON OF INTEREST
Ugunduzi wa kifaa cha kisayansi cha kugundua matukio na wahusika wa uhalifu na wagunduzi kujipa jukumu la kuwa heroes kuokoa innocent people walioko hatarin.
6. COBRA KAI
teenage drama uhusika wa sanaa za mapigano na athari zake kwenye uhalisia wa maisha ya vijana wadogo na mapenzi yakihusika ndani yake.
7. NEVER HAVE I EVER?
Comedy teenage series inayobase kwenye high school dramas
8. FARZI
indian series inayohusu vijana wawili yatima waliolelewa na babu yao wanalazimika kujiingisha katika utengenezaj wa pesa bandia kujikwamua na kunusuru kiwanda cha babu yao ila kadri utamu wa pesa haramu unavyowanogea ndipo maisha na taswira yao kwa jamii inavyokuwa "at stake".
9. VACATION
baba na mume wa watoto wawili anapata wazo la kuipeleka familia yake vacation ili kuwa impress wazo linaloibua changamoto nyingi safarini na kijikuta wakijutia tofaut na malengo, a typical comedy movie.
10. ALLADIN kwa wapenzi wa typical comedy movies this is your thing.
N:B HONOURABLE MENTIONS
FAUDA , IF LOVING U IS WRONG , IN LOVE WITH CHURCH GIRL, THIN LINE BETWEEN LOVE AND HATE