10 Most Underrated TV Shows

10 Most Underrated TV Shows

Hii traveller ilikuwa series moja kali Sana.

Si ndio ile jamaa wameingia museum, wanatoka tu inalipuliwa halafu ghafla anatangazwa kuwa ndio suspect wa kwanza.

Sasa zile mishe za kuwakwepa Police halafu jamaa ni raia tu wa kawaida ni hatari. Halafu nani kalipua ile museum na kwanini yeye awe suspect namba moja ni balaa.
Yes, ndio hiyo, kali sana.
 
.......weka ambazo zipo overrated then tukompee, nadhani sio popular coz wengi wetu kingereza ni shida, wabongo tuko bize na kina mkojani, na series za huko uswahilini........
 
Back
Top Bottom