sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Banshee na The Spy utainjoi sana mkuuNgoja nitafute hiyo Kingdom, Banshee na The Spy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banshee na The Spy utainjoi sana mkuuNgoja nitafute hiyo Kingdom, Banshee na The Spy
Safi sana... Unachambua vizuriSina habari nanyang'anyana remote na uncle zangu 😀😀
Ahsante mkuuSafi sana... Unachambua vizuri
Yes, ndio hiyo, kali sana.Hii traveller ilikuwa series moja kali Sana.
Si ndio ile jamaa wameingia museum, wanatoka tu inalipuliwa halafu ghafla anatangazwa kuwa ndio suspect wa kwanza.
Sasa zile mishe za kuwakwepa Police halafu jamaa ni raia tu wa kawaida ni hatari. Halafu nani kalipua ile museum na kwanini yeye awe suspect namba moja ni balaa.
Noted.......weka ambazo zipo overrated then tukompee, nadhani sio popular coz wengi wetu kingereza ni shida, wabongo tuko bize na kina mkojani, na series za huko uswahilini........