Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ndo hali iyo mkuu.unaenda geto unapga mimba pisi ya kupita tayar umekuwa baba😃😃Jamii yetu ya ki Tz kijana wa kiume akifika umri fulani anafukuzwa 😂 ( kwa maneno)
Aliyeamua kubaki nyumbani hata kama ana kazi anaonekana hajitambui