10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Watanzania tuna shida moja kubwa kuna mambo hatukuwahi kutarajia mwenzetu afanye na akitokea anaethubutu na kufanikiwa tunapinga!

Nimeona comments muda huu kwenye insta kuhusu treni ya kigoma. Mchizi ka post kigodoro kwa treni watu wameingia kwenye dini sasa ooh ".....mondi utakufa tu", ".....mrudie mungu...oooh ".....dunia tunapita...."ooh "......treni ya maasi ikifika mswali"

Ila mambo kama haya yakifanywa na wasanii wa nje nigeria huko, ulaya au hata kenya utawaskia wananzengo ".....ona ubunifu wa treni...." "...bongo tumekwama wapi...?"

Dini ni dini na sanaa ya kidunia ni sanaa ya kidunia. Huwezi kuwa bongo fleva ukawa mdini at the same time sababu unachoimba na yanayofanyika club yanajulikana...

Kwa hiyo tusidanganyane kupiga tour huku tumevaa vaa kanzu na vibarakashia....aidha umche mungu au ufanye bongo fleva. Mondi kaamua kufanya bongo fleva. Kama upo katikati basi usi mjaji mwenzako..!!!!!
Ndivyo tulivyo wabongo mkuu. Huo wote wivu. Mtu akifanya vizuri tumsapot na kumpongeza. Wapo wachawi wanaosubiri kwa hamu kubwa anguko la Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namuwazia mtoto wa tanasha jamani. Roho inaniuma kweli kweli
Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!
 
Bajaj 30 za wapi hizo?
Bima ya 30000 kwa wamama 40 ni 1200000

Sent using Jamii Forums mobile app

Treni imeingia viunga vya kigoma
20191229_192221.jpg
 
Back
Top Bottom