Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nilijua wanne ila kwa Mama watatu tofauti, kumbe Tiffah na Nillan mama tofauti?Mbona hujasema ya kuzaa watoto wanne kila mmoja na mama ake?
Acha wivu Mkuu, wewe ulishawahi kumsaidia hata mama mmoja? Unajua ifike stage tu mtu ukubali kuwa jamaa yuko level zingine,
Ni kweli Mkuu sisi wabongo kinachotusumbua ni wivu wa kipumbavu tu ambao hatupendi tuone mtu flan amefanikiwa.Watanzania tuna shida moja kubwa kuna mambo hatukuwahi kutarajia mwenzetu afanye na akitokea anaethubutu na kufanikiwa tunapinga!
Nimeona comments muda huu kwenye insta kuhusu treni ya kigoma. Mchizi ka post kigodoro kwa treni watu wameingia kwenye dini sasa ooh ".....mondi utakufa tu", ".....mrudie mungu...oooh ".....dunia tunapita...."ooh "......treni ya maasi ikifika mswali"
Ila mambo kama haya yakifanywa na wasanii wa nje nigeria huko, ulaya au hata kenya utawaskia wananzengo ".....ona ubunifu wa treni...." "...bongo tumekwama wapi...?"
Dini ni dini na sanaa ya kidunia ni sanaa ya kidunia. Huwezi kuwa bongo fleva ukawa mdini at the same time sababu unachoimba na yanayofanyika club yanajulikana...
Kwa hiyo tusidanganyane kupiga tour huku tumevaa vaa kanzu na vibarakashia....aidha umche mungu au ufanye bongo fleva. Mondi kaamua kufanya bongo fleva. Kama upo katikati basi usi mjaji mwenzako..!!!!!
Kiba alishafanya hayo yote na zaidi sema tu hapendi show off
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!
Wewe ni mshamba treni za dilux zinamahala pa choo na kunawa mikono watu wanaweza piga mswaki na kunawa au kufuta jasho acha wivu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulitaka kumsaidia kuleaMbona hujasema ya kuzaa watoto wanne kila mmoja na mama ake?
Wewe ni mshamba treni za dilux zinamahala pa choo na kunawa mikono watu wanaweza piga mswaki na kunawa au kufuta jasho acha wivu
Sent from my iPhone using JamiiForums