10 years of Diamond Platnumz

10 years of Diamond Platnumz

Hakuna kitu kama hicho na kuimba vizuri nako je? Huyu anafanya branding nzuri tu
By professional huyo jamaa ni mganga ndo maana anapenda Sana kuingiza mambo yake ya kiganga Sana kwenye mambo mengi
 
Sasa hivi amekuwa kama Rais, kila akishuka sehemu lazima mafuriko ya watu yatokee mondi kiukweli anapendwa sana, sijui kama kutatokea celebrity mwingine akawa maarufu kama Mondi hapa Tz.
Kutokea mwingine atatokea na lazima atokee hata kama itachukua muda mrefu unless other wise bongofleva ife,
 
Yes ni kweli he's bigger than media za Tanzania lakini hapo kwenye kusema wanambania sijaelewa kwanini wambanie km hawana tatizo naye,
 
Remix ya Baba lao




E. E . e eeeeeee
Numbisa jinga lao
Jinga laoo

😤😤😤
 
Nguvu kubwa ya redio kum-promote msanii kimuziki ilikuwa zmani, sku hizi wimbo kama ni mkali unasogea wenyewe tu mtaani hata kama redio DJ atakuwa haupigi hewani. Zile zama za redio DJ kukupangia playlist zimepitwa na wakati. Siku hizi playlist watu wanazo kwenye smartphone zao.
Kweli mkuu,
Mziki hata ukifungiwa na basata unaendelea kuwepo kwenye Simu za watu!
 
Mond yupo vizur nampongeza pia uwe humpend au unampenda utamsikia tuu iwe kwa bajaj kwa redio kwa boda boda kwenye baa au disko maana ndio baba laoo
 
Hivi hili treni la Diamond limeshafika Dodoma? I can imagine tangu jana watu hawajaoga wala kupiga mswaki, yaani wanakunywa tu pombe na kucheza kibao kata. Eew!
Acha ushamba wewe .. Treni Ina vyoo, mabafu, Sehemu ya kupiga vinywaji na sehemu ya kulala (vitanda ).. vitu vingine muwe mna-google




Hapo unaweza kuona sehemu ya vitanda ... Unaweza kulala hata wiki nzima ...


Kuna Treni ya kitalii huwa inatoka south-africa Hadi Dar kupitia Zambia - Dar kwa tazara huwa inasafiri miezi na miezi Kama sehemu ya utalii ... Ingia walau Google ujionee... Sasa wewe Treni ya kigoma siku 2 umepagawa.
IMG_20191230_163605.jpeg
IMG_20191230_163639.jpeg
IMG_20191230_163742.jpeg
IMG_20191230_163811.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu kubwa ya redio kum-promote msanii kimuziki ilikuwa zmani, sku hizi wimbo kama ni mkali unasogea wenyewe tu mtaani hata kama redio DJ atakuwa haupigi hewani. Zile zama za redio DJ kukupangia playlist zimepitwa na wakati. Siku hizi playlist watu wanazo kwenye smartphone zao.
NENO 💯💯💯
 
Back
Top Bottom