fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mbeya boy chuma
Maarifa ze big thinker
Boshoo
G bway yule aloimba na fifi
Nikk mbishi
Maarifa ze big thinker
Boshoo
G bway yule aloimba na fifi
Nikk mbishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo siku ya young d nilibahatika kuisikia, alichemka hata mimi niliona, japo si mtaalam wa mzikiNyenza mc
Nchama the best
Boshoo ninja
Mbeya boy chuma(alizingua kiaina lugha ya matusi ilitawala sana)
Dizasta Vina
Note:sio freestyle kwa dakika 10 ila uchane kadri unavyoweza kwa dakika 10, aliyefanya freestyle kweli ni Nchama peke yake wengine walikua wanachana nyimbo ambazo wameziandika ila kutokana na kutosikika kwao unaweza dhani ni freestyle, mfano Dizasta vina alichana ngoma ya kanisa, wakati ni nyimbo ya kitambo tu na watu wengi walidhani ni freestle.Ila hongera kwa hao watu maana kuchana dakika 10 sio kazi ndogo, ukitaka kujua hilo tafuta dakika 10 za Young D maana aliboa mpaka basi akaomba tena mwenyewe arudi, hapo akaja kajipanga lkn wapi akadondokea pua raia walimaind sana MB zao[emoji16][emoji16][emoji16]
Yaah kweli mkuu maarifa anajua sema.. He's lyrical genius... Anajua Sana kuchora Tenzi zake Ila Ana kasoro moja ambayo Kama akifanyia kazi atakuwa bonge la rapa ..Braza big up kweli mziki unaujua... Maoni yako ndio yangu...
Nyenza anajua saana na huyo mbeya boy chuma..
Hapo muongeze dogo maarifa tu.
Yuile nyenza kwanza ni mtulivu saana..
"Maslah ya mlalaji huwa ni kukung'uta jamvi"
mbeya boy chuma dizasta na omg (lunya)Kuna kipindi E.Africa Radio kumi za maangamizi,ni free style kwa dk 10.
Unaweza kusema hip hop au freeystyle ipo underground siyo kwa hawa wasanii waliotoka .Clips za hiyo kipindi vipo YouTube .Hii ni list yangu ya waliotisha.
1.Cado Kitendo.
2.Hidary Scoda
3.Chid Benz
4.Boshoo Ninja
5.Maarifa The Big Thinker
Kama umefuatilia hiki kipindi sijui Nani umemkubali
Matozi wamepandisha bei ndala nyeupe[emoji3] [emoji3]Nikiwa bar mimi ndio boss yule mupe, yule muluke/
Nyie matozi mmepandisha bei ndala nyeupe?/
Eti bongo bahati mbaya halafu unavaa unapendeza/
Bongo kama ulaya uchawi uwe na fedha/